Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Wako systematic, focused and very strategic.....kumfuata mtu mkubwa na kumueleza mipango yao hakika, hoja ya Mh. Polepole isipuuzweWanamtandao toka 1990s mpaka leo, wanakosana, wanapatana.
Na bado wanaendelea kuchanja mbuga.
Makonda hakusema alisomeshwa na Sita 😂Si umtaje rafiki yako Makonda... Hizi ndiyo "codes " mnapenda kuzitumia kama alivyosema Polepole.
Alisemaje😄😃😆Makonda hakusema alisomeshwa na Sita 😂
Absolutely, since they don't collude only business companies but they collude entire political sphere.Cartel ...sio mtandao tena ni Lad pepes cartel
😂😂😂😂Ndiyo maana walipomkatalia Sitta asigombee Uspika alikasirika sana. Nakumbuka alisema kwa hasira "kama walikuwa hawataki niwe spika si wangeniambia?"
Koka usicheke... Haya mambo yanatisha sana...😂😂😂😂
Zitto mmoja wapo mbona unaficha mkuu.Nakumbuka msibani kwa mzee 6 kuna Vijana Walisema aliwasomesha🐼
Amekuwa colludedZitto mmoja wapo mbona unaficha mkuu.
Ndiyo maana walipomkatalia Sitta asigombee Uspika alikasirika sana. Nakumbuka alisema kwa hasira "kama walikuwa hawataki niwe spika si wangeniambia?"
Kumbukumbu ziwekwe vizuri Wana mtandao ni
J kikwete
Rostam
Samwel sitta
Lowassa
Duh kweli Tanganyika imepakatwa na ikapatikana
Kati ya mpeshia na Mmatumbi nani anajipendekeza kwa mwenzie?aendelee kujipendekeza kwa mpersia asimkwaze mpaka mwisho ...
Kati ya mpeshia na Mmatumbi nani anajipendekeza kwa mwenzie?
Mbna km mpeshia ndo anajipendekeza kwa mmatumbi mwenye eneo ili aendelee kuula.
Au mie ndo sielewi?
hao wajuba wapo kimbelembele sana halafu hawajui kitu kenge waleHalafu kuna kum* mmoja anaajiita kinembe na tlaatlaa wanajifanya kupingana na polepole
Ko hata Mmatumbi no uno aliyepita nae ni chawa wa Mpeshia?ahh wapi hao wote wanasesere tu, all roads lead to persia ...
Kama inasemekana aliishi kwakwe huenda alisomeshwa piaMakonda hakusema alisomeshwa na Sita 😂
Wajinga ndio wanagombana rohoni ila wenye akili wanagombana kwenye maslaiWanamtandao toka 1990s mpaka leo, wanakosana, wanapatana.
Na bado wanaendelea kuchanja mbuga.