Maana kwa maelezo ya Kikwete alikuta yupo Samuel Sitta, Edward Lowassa na Rostam Aziz.
Jee nani aliyesema Kikwete aitwe? Ni Sitta, Lowassa au Aziz. Maana kama tayari Lowassa alishakubali kwenda kuchukua fomu, ilikuwaje tena wamwite na Kikwete?
Jee yeye Kikwete alikuwa hautaki Urais?
Hao washkaji longtime agoooKati ya mpeshia na Mmatumbi nani anajipendekeza kwa mwenzie?
Mbna km mpeshia ndo anajipendekeza kwa mmatumbi mwenye eneo ili aendelee kuula.
Au mie ndo sielewi?
Si mchezoWajinga ndio wanagombana rohoni ila wenye akili wanagombana kwenye maslai
PoleAisee aisee.Duuu.Yaliyokuwa gizani sasa hadharani.
Hii inaunganisha dots kwa haraka sana
Ndio mwaka wa kuanzishwa CCJ?Ule mwaka sarakasi zilikuwa nyingi sana, mpka Chenge akachukua fomu ya uspika!