mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Mwaka 1994 nilitumia wiki nzima kutoka Dar mpaka Chidya secondary, mwaka uliofuata nikahama shule, mto rufiji ilikuwa balaa, Mkapa aluvyoingia madarakani akajenga daraja.
JPM kwa kinywa chake anadai chupuchupu afe kwenye ajali ya boti kivuko cha busisi, kilichomsaidia machale yalimcheza akaendesha pikipiki akavukia Kamanga, baadae akasikia ike boti aliyotaka kupanda ilizama, ni miaka ya 1980s huko. Alipoingia madarakani akajenga daraja la busisi, kilometa za kutosha.
Pia soma: Pre GE2025 - Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la Mto Pangani la Bilioni 107, Urefu wa Mita 525
Jakaya Kikwete alipapenda sana Tanga, bila yeye Makamba family wangekuwa wapi sijui, kuna watu wengi toka Tanga aliwabeba kipindi chake.
Kikwete ana nyumba bagamoyo mjini karibu na Magomeni ila permanent address yake ni Msoga Chalinze.
Daraja la mto Pangani linaenda kuififisha Chalinze, magari toka Kenya, Arusha, Moshi yataanua kupitia hiyo njia.
Kikwete aliliona hili mapema na hakuwa tayari kuona jimbo lake linadumaa kisa daraja la mto Pangani, alivyoletewa hili wazo alilikataa macho makavu.
Hongera mama Samia kwa kumkosesha raha JK kwa maslahi ya wengi.