Jakaya Kikwete atakuwa hajapendezwa na ujenzi wa daraja la mto Pangani. Akiwa Rais alikataa lisijengwe kuhofia Chalinze kupooza

Jakaya it seems ni punching bag nzuri sana ya wenye frustrations zao
Sio punching bag isipokuwa ni mnafiki sana na ni mtu wa majungu ndio maana alikuwa na bifu sana na marehemu Abdalla Kigoma enzi hizo akiwa Mbunge wa Handeni na Kikwete akiwa Bagamoyo! Hata alipofariki hakuhudhuria mazishi yake in spite of having been class and college mates😳😳
 
Mwaka 1994 nilitumia wiki nzima kutoka Dar mpaka Chidya secondary, mwaka uliofuata nikahama shule, mto rufiji ilikuwa balaa, Mkapa aluvyoingia madarakani akajenga daraja.

JPM kwa kinywa chake anadai chupuchupu afe kwenye ajali ya boti kivuko cha busisi, kilichomsaidia machale yalimcheza akaendesha pikipiki akavukia Kamanga, baadae akasikia ike boti aliyotaka kupanda ilizama, ni miaka ya 1980s huko. Alipoingia madarakani akajenga daraja la busisi, kilometa za kutosha.

Pia soma: Pre GE2025 - Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la Mto Pangani la Bilioni 107, Urefu wa Mita 525

Jakaya Kikwete alipapenda sana Tanga, bila yeye Makamba family wangekuwa wapi sijui, kuna watu wengi toka Tanga aliwabeba kipindi chake.

Kikwete ana nyumba bagamoyo mjini karibu na Magomeni ila permanent address yake ni Msoga Chalinze.

Daraja la mto Pangani linaenda kuififisha Chalinze, magari toka Kenya, Arusha, Moshi yataanua kupitia hiyo njia.

Kikwete aliliona hili mapema na hakuwa tayari kuona jimbo lake linadumaa kisa daraja la mto Pangani, alivyoletewa hili wazo alilikataa macho makavu.

Hongera mama Samia kwa kumkosesha raha JK kwa maslahi ya wengi.
Ukiondoa mikoa ya kusini Lindi na Mtwara........... kwenda mikoa yote Tz ni LAZIMA utapitia Chalinze

So daraja la Pangani likijengwa ni sehemu ya mkoa wa Tanga pekee na magari kutoka Mombasa ndio ambayo hayata pitia Chalinze
Huwezi kutoka Moshi Arusha ukazungukia Tanga kwenda Dar

Kwa muktadha huo ni mjinga pekee ndio anaweza kufikiri kama unavyo fikiria wewe
 
Sio punching bag isipokuwa ni mnafiki sana na ni mtu wa majungu ndio maana alikuwa na bifu sana na marehemu Abdalla Kigoma enzi hizo akiwa Mbunge wa Handeni na Kikwete akiwa Bagamoyo! Hata alipofariki hakuhudhuria mazishi yake in spite of having been class and college mates😳😳
Iko vile bandugu !
Kuna watu huwa wanajisahaulisha na hii Dunia !
Wanadhani hapa ndio wamefika !
Kumbe it’s nothing !
Hapa tunapita tu 😳😀🤣 hamna kitu !
 
Mwaka 1994 nilitumia wiki nzima kutoka Dar mpaka Chidya secondary, mwaka uliofuata nikahama shule, mto rufiji ilikuwa balaa, Mkapa aluvyoingia madarakani akajenga daraja.

JPM kwa kinywa chake anadai chupuchupu afe kwenye ajali ya boti kivuko cha busisi, kilichomsaidia machale yalimcheza akaendesha pikipiki akavukia Kamanga, baadae akasikia ike boti aliyotaka kupanda ilizama, ni miaka ya 1980s huko. Alipoingia madarakani akajenga daraja la busisi, kilometa za kutosha.

Pia soma: Pre GE2025 - Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la Mto Pangani la Bilioni 107, Urefu wa Mita 525

Jakaya Kikwete alipapenda sana Tanga, bila yeye Makamba family wangekuwa wapi sijui, kuna watu wengi toka Tanga aliwabeba kipindi chake.

Kikwete ana nyumba bagamoyo mjini karibu na Magomeni ila permanent address yake ni Msoga Chalinze.

Daraja la mto Pangani linaenda kuififisha Chalinze, magari toka Kenya, Arusha, Moshi yataanua kupitia hiyo njia.

Kikwete aliliona hili mapema na hakuwa tayari kuona jimbo lake linadumaa kisa daraja la mto Pangani, alivyoletewa hili wazo alilikataa macho makavu.

Hongera mama Samia kwa kumkosesha raha JK kwa maslahi ya wengi.
Mbona mda mrefu tu Magari ya Kenya na Tanga hayapiti Chalinze? In short Kikwete ndio kajenga hio barabara ya Bagamoyo Msata.

Pia Arusha Doesn't make sense Kupitia Tanga hata hilo daraja likijengwa, Dar pangani km 200 + km 40 pangani Tanga + Km 70 toka Tanga Segera hizo ni zaidi ya KM 300, haitofautiani na Dar Segera.
 
Ni kweli lakini uhenda baadhi yakapita hiyo route kuokota wateja wa Muheza,Tanga mjini ,Pangani na Bagamoyo
 
Mwaka 1994 nilitumia wiki nzima kutoka Dar mpaka Chidya secondary, mwaka uliofuata nikahama shule, mto rufiji ilikuwa balaa, Mkapa aluvyoingia madarakani akajenga daraja.

JPM kwa kinywa chake anadai chupuchupu afe kwenye ajali ya boti kivuko cha busisi, kilichomsaidia machale yalimcheza akaendesha pikipiki akavukia Kamanga, baadae akasikia ike boti aliyotaka kupanda ilizama, ni miaka ya 1980s huko. Alipoingia madarakani akajenga daraja la busisi, kilometa za kutosha.

Pia soma: Pre GE2025 - Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la Mto Pangani la Bilioni 107, Urefu wa Mita 525

Jakaya Kikwete alipapenda sana Tanga, bila yeye Makamba family wangekuwa wapi sijui, kuna watu wengi toka Tanga aliwabeba kipindi chake.

Kikwete ana nyumba bagamoyo mjini karibu na Magomeni ila permanent address yake ni Msoga Chalinze.

Daraja la mto Pangani linaenda kuififisha Chalinze, magari toka Kenya, Arusha, Moshi yataanua kupitia hiyo njia.

Kikwete aliliona hili mapema na hakuwa tayari kuona jimbo lake linadumaa kisa daraja la mto Pangani, alivyoletewa hili wazo alilikataa macho makavu.

Hongera mama Samia kwa kumkosesha raha JK kwa maslahi ya wengi.
Una ushahidi upi kwamba Kikwete alikataa hilo daraja kujengwa?
 
no sio kweli gari nyingi zinazokwnda arusha na moshi bado zitatumia Chalinze to Segera,ila za Tanga moja kwa moja toka dar ndio zitapita ruti hiyo pia huwa wanaangalia na umbali pia
 
Back
Top Bottom