Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Nimejaribu kuangalia hii clip alipokutana na wachezaji Samatta na Ulimwengu nadhani ni Airport nimegundua JK alikuwa kiongozi mtia matumaini na sio mtishaji watu.
Hakuwa mtu wa kujimwambafai, mtishaji wengine kwa kauli zisizopiwa wala mwenye dharau.
Kukutana huku ghafla na vijana hawa kuna kitu +ve alipandikiza mioyoni mwao.
Natamani viongozi wengine wangemuiga hata katika hili tuu na kuachana na yale mengine aliyo fail.
Sent using Jamii Forums mobile app