CCM ni tatizo kubwa ndani ya nchi hii.Mikopo inatolewa tatizo haiwasaidii walengwa, inaishia mikononi mwa wachache matokeo yake kundi kubwa la vijana linaendelea kuteseka, bahati mbaya zaidi hao wanufaika wachache hawairudishi ili wapewe wengine, na wala hawachukuliwi hatua zozote kisheria.
Wanakopa halafu wanazipiga, kama zile za covid 19Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete amesema utoaji mikopo zaidi kutoka taasisi za kifedha zikiwemo benki, utachochea uwekezaji na ukuaji wa uchumi kupitia sekta mbalimbali zikiwemo biashara na kilimo nchini.
Kikwete alisema uimara wa taasisi za fedha nchini kwa sasa utasaidia zaidi ukuaji wa uchumi kwa kuwa wawekezaji kwenye sekta za biashara na kilimo wanategemea zaidi taasisi hizo ili kufanikisha uendeshai. wa miradi yao.
Akizungumza kwenye hafla ya futari iliyondaliwa na Benki ya NBC kwa wateja wake mwishoni mwa wiki, Kikwete alieleza kuridhishwa na uimara wa taasisi za fedha nchini akitolea mfano benki hiyo inayomiliki mali zenye thamani ya Shi.52 trilioni na amana zenye thamani ya Shl.96 trilioni.
"Hakuna uchumi bila uwekezaji kama ambavyo hakuna uwekezaji bila mikopo ya uhakika kutoka taasisi za kifedha. Pamoja na taasisi nyingine za kifedha ninawasihi mwendelee kuwa karibu na wawekezaji kwa faida ya ukuaji wenu kama wakopeshaji, pia na kwa faida ya wawekezaji wenyewe, jamii pamoja na Serikali kwa ujumla," aliongeza Kikwete.
Ukiangalia kwa jirani zetu ambako serikali liyopita ilikopa sana na ya sasa hata uwezo wa kulipa mishahara watumishi wake inasuasua, ukizingatia ufisadi uliovuka mipaka uliopo nchini,........tuna mifumo imara ya kuhakikisha mikopo hiyo inafanya kazi iliyokusudiwa? ikiwa pesa za ugonjwa (uviko) watu wamezitafuna?Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete amesema utoaji mikopo zaidi kutoka taasisi za kifedha zikiwemo benki, utachochea uwekezaji na ukuaji wa uchumi kupitia sekta mbalimbali zikiwemo biashara na kilimo nchini.
Kikwete alisema uimara wa taasisi za fedha nchini kwa sasa utasaidia zaidi ukuaji wa uchumi kwa kuwa wawekezaji kwenye sekta za biashara na kilimo wanategemea zaidi taasisi hizo ili kufanikisha uendeshai. wa miradi yao.
Akizungumza kwenye hafla ya futari iliyondaliwa na Benki ya NBC kwa wateja wake mwishoni mwa wiki, Kikwete alieleza kuridhishwa na uimara wa taasisi za fedha nchini akitolea mfano benki hiyo inayomiliki mali zenye thamani ya Shi.52 trilioni na amana zenye thamani ya Shl.96 trilioni.
"Hakuna uchumi bila uwekezaji kama ambavyo hakuna uwekezaji bila mikopo ya uhakika kutoka taasisi za kifedha. Pamoja na taasisi nyingine za kifedha ninawasihi mwendelee kuwa karibu na wawekezaji kwa faida ya ukuaji wenu kama wakopeshaji, pia na kwa faida ya wawekezaji wenyewe, jamii pamoja na Serikali kwa ujumla," aliongeza Kikwete.
Unazungumzia commercial loan au kitu gani ..?Mikopo inatolewa tatizo haiwasaidii walengwa, inaishia mikononi mwa wachache matokeo yake kundi kubwa la vijana linaendelea kuteseka, bahati mbaya zaidi hao wanufaika wachache hawairudishi ili wapewe wengine, na wala hawachukuliwi hatua zozote kisheria.
Ana Gentleman Pass ya Uchumi-UDSM!JK na Uchumi wapi na wapi banaaa !!.
Mtu mwenyewe alipata GPA kiduchuuuuu Tena ya Sanaa yaan Sanaa yenyewe ya Siasa na Mahusiano lkn bado akapata GPA kiduchuuuuu .
Kuna elimu ya darasani na ya mtaani.JK na Uchumi wapi na wapi banaaa !!.
Mtu mwenyewe alipata GPA kiduchuuuuu Tena ya Sanaa yaan Sanaa yenyewe ya Siasa na Mahusiano lkn bado akapata GPA kiduchuuuuu .
Vijana hawafuati hiyo mikopo,Wacha kuwa na mode ya ulalamishi kila dakika,nipo nao nimeawa-organise wapate mkopo,wanazunguka tu hawajui kwenye vikaoMikopo inatolewa tatizo haiwasaidii walengwa, inaishia mikononi mwa wachache matokeo yake kundi kubwa la vijana linaendelea kuteseka, bahati mbaya zaidi hao wanufaika wachache hawairudishi ili wapewe wengine, na wala hawachukuliwi hatua zozote kisheria.
Mikopo inatolewa tatizo haiwasaidii walengwa, inaishia mikononi mwa wachache matokeo yake kundi kubwa la vijana linaendelea kuteseka, bahati mbaya zaidi hao wanufaika wachache hawairudishi ili wapewe wengine, na wala hawachukuliwi hatua zozote kisheria.
Lakini akawa rais wako [emoji1]JK na Uchumi wapi na wapi banaaa !!.
Mtu mwenyewe alipata GPA kiduchuuuuu Tena ya Sanaa yaan Sanaa yenyewe ya Siasa na Mahusiano lkn bado akapata GPA kiduchuuuuu .
Yaani wewe ndo boya kwel , Bado unakariri kua GPA Zina positive effects kwenye maendeleo ya nchi yetu , Bongo kua na GPA kubwa ni kuonyesha uwezo mkubwa wa kukariri tu sio kuchanganua mambo , Kwa sababu wasomi wa bongo wengi hawana msaada wowote kwenye jamii , wenyewe tu hawawezi kujisimamia kwenye mambo yao zaidi ya kuhangaika na vibahasha , acha ujingaJK na Uchumi wapi na wapi banaaa !!.
Mtu mwenyewe alipata GPA kiduchuuuuu Tena ya Sanaa yaan Sanaa yenyewe ya Siasa na Mahusiano lkn bado akapata GPA kiduchuuuuu .