Jakaya Kikwete: Mikopo zaidi itachochea ukuaji wa Uchumi

Jakaya Kikwete: Mikopo zaidi itachochea ukuaji wa Uchumi

Mikopo ya riba ya 20%, hata siku moja haiwezi kumsaidia mwekezaji au Taifa hata siku moja.

Mikopo ya wenzetu, riba huwa haizidi 5%. Mikopo ya hapa kwetu ni kuutafuta umaskimi kwa nguvu. Wengi wa wanaochukua mikopo, vijumba vyao vinaishia kupigwa mnada.

Unaenda kufanya biashara ya kukopa faida ya 20% ukalipe mkopo, halafu ibakie na faida ya kubakia kwa mkopaji?
 
Huyu Mzee hatutaki tena kumsikiliza awamu yake ishapita hatumtaki Tena kwa sababu ya madudu yake
 
Back
Top Bottom