Mikopo ya riba ya 20%, hata siku moja haiwezi kumsaidia mwekezaji au Taifa hata siku moja.
Mikopo ya wenzetu, riba huwa haizidi 5%. Mikopo ya hapa kwetu ni kuutafuta umaskimi kwa nguvu. Wengi wa wanaochukua mikopo, vijumba vyao vinaishia kupigwa mnada.
Unaenda kufanya biashara ya kukopa faida ya 20% ukalipe mkopo, halafu ibakie na faida ya kubakia kwa mkopaji?