Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 590
- 807
Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Bodi ya Nutrition International (Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Bw. Joel Spicer pamoja na Wajumbe wengine wa Bodi kutoka Afrika; Mheshimiwa Joyce Banda Rais Mstaafu wa Malawi, na Bi. Vivian Onano kutoka Kenya, jana Jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Katika kikao chao kifupi wamezungumzia mipango yao ya kuhakikisha suala la lishe linaendelea kupewa mkazo na nchi za Afrika ili kuboresha hali ya lishe Barani Afrika.