Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe, yupo Ethiopia

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807

Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Bodi ya Nutrition International (Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Bw. Joel Spicer pamoja na Wajumbe wengine wa Bodi kutoka Afrika; Mheshimiwa Joyce Banda Rais Mstaafu wa Malawi, na Bi. Vivian Onano kutoka Kenya, jana Jijini Addis Ababa, Ethiopia.

Katika kikao chao kifupi wamezungumzia mipango yao ya kuhakikisha suala la lishe linaendelea kupewa mkazo na nchi za Afrika ili kuboresha hali ya lishe Barani Afrika.
 
Maji hamuna maji hamuna !! Hii ndio habari ya mujini na ya Nchini !!
 
Maji hamuna maji hamuna !! Hii ndio habari ya mujini na ya Nchini !!
Matrillion yaliteketezwa kujenga useless chato international airport ambapi sasa hivi kuna magugu tu runway na moulds waiting lounges. Wakati hayo matrillion yangejenga mabwawa ya kutosha ya kisasa kutunza maji pamoja na mabomba.

Crimea unprejudiced RWANDES Magonjwa Mtambuka
 
Dunia ya Mungu ikanyagwe polepole, Tanzania ni ya watanzania.
 
Kikwete ni World stateman sio mfuga ng'ombe huyo.
 
Inakusaidia nini hii picha kwenye ugali wako wa kila siku?,ua wewe ndio Jakaya mwenyewe?[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kwenye suala la maji hakuna wa kukwepa au kukwepeshwa !! Wote ndio wale wale !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…