Kwa mujibu wa hii speech(eulology) aliyoitoa JK kwenye msiba wa BWM, imetusaidia kujua Mkapa alikuwa ni mtu wa namna gani. Licha ya kufanya mambo makubwa katika nchi lakini hakutumia kabisa vyombo vya habari vya Taifa kujipigia mapromo kama tunavyoona kwenye utawala wa sasa.
Ifahamike Mkapa ndiye rais wa kwanza aliyekataa title ya "Mtukufu"
Na ni rais wa kwanza wa nchi yetu aliyekataa picha yake kukaa kwenye fedha
Huyo ndiye rais aliyekuwa hapigi mayowe, bali aliacha watu waone wenyewe.
Na kweli mwanaume yule alipiga kazi ya maana kwa nchi.
Namkumbusha rais wa sasa na wapambe wao, chema chajiuza kibaya chajitembeza, acheni kupiga mayowe, tuacheni tuone wenyewe.
Populism maana yake siyo kupenda sifa, acha kujiokotea maneno ambayo wala hauelewi maana yake, ungeacha tu neno sifa peke yake, kwa maana,,populism“ ina maana nyingine kabisa na wala haifit kwenye ujumbe wako, ...
Populism maana yake siyo sifa, acha kujiokotea maneno ambayo wala hauelewi maana yake, ungeacha tu neno sifa peke yake, kwa maana,,populism“ ina maana nyingine kabisa na wala haifit kwenye ujumbe wako, ...
Kweli hakupenda sifa ndio maana katika kitabu chake maadhui ni kutaka sifa ziwaendee Wataalamu wa shauri wake. Akimanisha hasa sifa zile zinazohusisha mapuñgufu ya utawala wake.
Kama hili halitoshi akaomba atafutiwe picha ya rafiki yake Waziri mkuu wa zamani wa Sweden ili iwe sehemu ya yaliyo jumuishwa katika kitabu chake. Maana hakutaka makuu na sifa za kujikweza kuweka picha za malofa na wapumbavu.