point yangu watu waongelee vitu vyenye tija sio mambo kama hyo ya sijui kutaka sifa. toa ushahidi kama magu alikuwa anaunga mkono ufisadi, ubinafsishaji usiokuwa na tija, mikataba mibovu ya madini.Wakati huo magu alikuwa wapi? Hakuwa akiunga mkono na kupiga meza? Sasa Kama si kutaka sifa kitu gani kinamfanya ajitoe ufahamu Sasa?