Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Unaelewa kwamba rais kama muhifadhi wa mwisho wa ardhi ya nchi hawezi kuiba mali ambayo kapewa yeye kuwa muhifadhi wa mwisho?Mkuu yote uliyoyaongea yapo kwenye sheria. Sheria inaongelea utimamu wa akili wa anayefaa kuwa raisi na hairuhu kukojoa sehemu isiyo choo, akikojoa tu huyo keshavunja sheria. Kumpa mjomba ardhi ni wizi wa Mali ya uma, wizi ni kinyume cha sheria.
Unakubalinkwamba si kika kibaya kisichokubalika kipo katika katiba na sheria, na ndiyo maana tuna Bunge linatunga sheria mpya kila mwaka?
Unaelewa kwamba tungeweza kusema "hizi hapa sheria zote tunazozihitaji, hakuna nyingine zaidi", kungekuwa hakuna haja ya kuwa na Bunge?