Jakaya Kikwete: Mkapa hakupenda sifa (populism)

Jakaya Kikwete: Mkapa hakupenda sifa (populism)

Populism maana yake siyo sifa, acha kujiokotea maneno ambayo wala hauelewi maana yake, ungeacha tu neno sifa peke yake, kwa maana,,populism“ ina maana nyingine kabisa na wala haifit kwenye ujumbe wako, ...
We kibwengu acha kujinyea
 
Lakini populism tafsiri yake siyo ,,kupenda sifa“ angeweza kutumia tu neno sifa bila ya populism, ...
Huwez kuelewa uwezo wako ni ulozi tu....by the way Lissu umemuona we kibwengu muuaji
 
Hu

huyo ndugu aliyesema populism alikuwa anataka kurudia kujimwambafai hakuna tatizo kiongozi kuwa popular ila hatakiwi kuwa famous kajifunzeni leadership pamoja na leadership styles na muache wivu wakike kwa JPM fuatilieni gas kwanza alafu ndio mrudi na populism
Sio gas tu, mauaji ya tembo, vifaru,albino, ukosefu wa maji, huduma mbaya na rushwa kwenye hospital na ofisi za serikali.
 
Populism maana yake siyo sifa, acha kujiokotea maneno ambayo wala hauelewi maana yake, ungeacha tu neno sifa peke yake, kwa maana,,populism“ ina maana nyingine kabisa na wala haifit kwenye ujumbe wako, ...
Kwenye political context is all about seeking cheap popularity from ordinary citizen.This contemplate jiwez character...he is after poor people just to eager his political sentiments
 
Jamani Jk alijifananisha yeye na BWM si mtu mwingine kwani JK ni mr Misifa nani asiyemjua
Huyu JK sijajua ana shida gani na JPM.
Hizi vurumai hajazianza leo. Kinachonishangaza watu wanajenga nyumba moja ila hawaishi kugombea fito.

Kwa wenye akili hiki ni kipindi cha kuacha tofauti zao na kukipigania chama chao.
 
JK amewaacha uchi sana msiba huu, mnatamani asingepata fursa ya kuongea!
Hata yeye kaachwa uchi na Mwinyi

“Mkapa ndiye amefanya kazi kubwa sana kukuza uchumi baada ya kuchukua nchi kutoka kwa Rais Mwinyi ikiwa na uchumi goigoi sana. Alipambana,” -J.M.Kikwete
___________________________

"MAGUFULI Ni wa kipekee Sana, aliikuta nchi iko vibaya Sana kiuchumi yeye ndio katufikisha kwenye uchumi huu mzuri wa Kati"
Rais A.H.Mwinyi.


*Hii inaitwa ukimwaga mboga......🤣*
 
Wewe ndio urudi shuleni, populism ina maana nyingine kabisa labda unachanganya na popularity ambapo ni vitu viwili tofauti, ungetumia tu neno kupenda sifa ingeleta maana uliokusudia, ...
Tatizo lako laanzia kwa aliyekukaririsha
Lakini ukikubali kufunguka kwa kujenga tabia/utamaduni wa kujisomea maeneo ziada, uelewa wako utakua. Anzia contemporary dictionary. Elimu haina mwisho.
 
116265262_680392992690332_3818634112400135588_n.jpg
 
Unaweza kusifiwa ili uharibu Jakaya Mrisho Kikwete amewashutukia ccm wanafiki.
 
Kwa mujibu wa hii speech (eulology) aliyoitoa JK kwenye msiba wa BWM, imetusaidia kujua Mkapa alikuwa ni mtu wa namna gani. Licha ya kufanya mambo makubwa katika nchi lakini hakutumia kabisa vyombo vya habari vya Taifa kujipigia mapromo kama tunavyoona kwenye utawala wa sasa.

Ifahamike Mkapa ndiye rais wa kwanza aliyekataa title ya "Mtukufu"

Na ni rais wa kwanza wa nchi yetu aliyekataa picha yake kukaa kwenye fedha

Huyo ndiye rais aliyekuwa hapigi mayowe, bali aliacha watu waone wenyewe.

Na kweli mwanaume yule alipiga kazi ya maana kwa nchi.

Namkumbusha rais wa sasa na wapambe wao, chema chajiuza kibaya chajitembeza, acheni kupiga mayowe, tuacheni tuone wenyewe.

"Na hiyo ndo tatizo la kustukizwa"

Video hapa chini:

Mkapa alikuwa na elimu na huyu wa sasa ana vyeti kwani Ben Saa nane Yuko wapi?
 
hii inasaidia nini kwenye ustawi wa nchi? hebu tuacheni kusifia vitu visivyokuwa na tija. mikataba yote mibovu ya madini kaingia yeye, ufisadi ulikuwa juu sana, radar, ubinafsishaji holela etc. hivi ndio vitu vya kuongea sio huo upuuzi sijui wa kutaka sifa kwenye media
Wakati huo magu alikuwa wapi? Hakuwa akiunga mkono na kupiga meza? Sasa Kama si kutaka sifa kitu gani kinamfanya ajitoe ufahamu Sasa?
 
Huyu JK sijajua ana shida gani na JPM.
Hizi vurumai hajazianza leo. Kinachonishangaza watu wanajenga nyumba moja ila hawaishi kugombea fito.

Kwa wenye akili hiki ni kipindi cha kuacha tofauti zao na kukipigania chama chao.
Kwa kuwa magu hana heshima Wala ustarabu
 
Essentially huwezi kuwa populist bila kupenda sifa.

Populism ni siasa za kupenda kupendwa bila kujali kama kupendwa huko kunatokana na mambo yenye manufaa au yasiyo manufaa.

Kwa mfano. Serikali ya Rais Magufuli haitengi bajeti kupeleka huduma za jamii vijijini.

Rais anajua hilo.

Lakini anapenda sifa, anapenda kupendwa, ni populist.

Anachofanya ni kwenda hizo sehemu, kuita watendaji kwenye mikutano, kuwatia jambajamba na kuwatumbua kwenye mikutano ya hadhara.

Watu wanafurahia. Magufuli kidume.

Rais mpenda sifa kuliko tija. Populist.

Wananchi wajinga wanapenda show za tumbua tumbua kuliko maendeleo ya kweli wanazidi kumsifia na kumpenda rais wao.

Hapo unaunganisha populist na mpenda sifa.
.


Unaweza ukapenda sifa na usiwe populist, unaweza ukawa leftist na ukapenda sifa, hivyo kuwa populist siyo kupenda sifa kwani kupenda sifa ni tabia ya kibinadamu na inaweza kutumika kwa wote hata ambao siyo populist, hivyo kutumia kupenda sifa kama tafsiri ya populism siyo sahihi, ...
 
Kwenye political context is all about seeking cheap popularity from ordinary citizen.This contemplate jiwez character...he is after poor people just to eager his political sentiments


Unaweza ukapenda sifa na usiwe populist, ...
 
Back
Top Bottom