Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Jambo jemaTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mh Jakaya Kikwete , leo Jumatatu ni miongoni mwa wadau waliofika nyumbani kwa Lowassa kuhani Msiba na kushiriki Maombolezo , ameambatana na Mkewe Mama Salma Kikwete .
Tunataka aseme kitu....siku mazishiTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mh Jakaya Kikwete , leo Jumatatu ni miongoni mwa wadau waliofika nyumbani kwa Lowassa kuhani Msiba na kushiriki Maombolezo , ameambatana na Mkewe Mama Salma Kikwete .
Ww inaonekana haujui chochote kuhusu ilo Santa. Lowassa hakuhusika na huo ufisadi. Huyo mzee wa MSOGA ndio muharibifu. Sio Lowassa.Kila kona taifa limeoza kwa ufisadi, leo hakuna uhakika wa umeme, shirika linapata hasara kwa kulipa madeni kutokana na mikataba ya hovyo ukiwemo wa RICHMOND sijui DOWANS ambao ulipelekea Lowassa kujiuzulu kwa kashfa ya ufisadi.
Kila mahali kunanuka ufisadi, watoto vyuo wanaishi maisha magumu kisa watu wanatafuta pesa, watu wanakufa hospitalin kisa huduma mbovu ama hakuna kabisa. Vijana hawana mitaji ili kuinua maisha yao.
Yote hii ni kutokana na ufisadi, na wote wanaoukumbatia hawapaswi kupewa heshima ya kuzikwa kishujaa na taifa wakati wao ndio wameliangamiza taifa, familia zao zinaishi vizuri, utajiri wa taifa wamerithisha familia zao na koo zao.
Mmeshaanza Chademahivi unawezaje kwemda kwenya msiba huku unacheka?
REST IN PEACE MZEE LOWASA.Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mh Jakaya Kikwete, leo Jumatatu ni miongoni mwa wadau waliofika nyumbani kwa Lowassa kuhani Msiba na kushiriki Maombolezo , ameambatana na Mkewe Mama Salma Kikwete.
Itakumbukwa kwamba Lowassa ndiye aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza kuteuliwa kwenye awamu ya Kikwete na baadaye kujiuzulu kwa kilichoitwa Kashfa ya RICHMOND.
Hapo awali 1995 wawili hao waliwahi kuunda Kolabo kabambe iliyopachikwa jina la "BOYS II MEN"
Richmond ndio Dowans ndio Symbion ya WamarekaniWw inaonekana haujui chochote kuhusu ilo Santa. Lowassa hakuhusika na huo ufisadi. Huyo mzee wa MSOGA ndio muharibifu. Sio Lowassa.
Na hilo lilikuwa dili la mapacha watatu,JK,RA na ENL.Richmond ndio Dowans ndio Symbion ya Wamarekani
Tatizo nini?