Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
CCM kama chama tawala kinapokea ripoti ya utekelezaji wa Ilani uliofanywaKwani kampeni zimeanza......!
Hivi siku hizi wakubwa huwa wanaongea uongoRais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameupongeza uongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Bukombe kwa Mkutano Mkuu Maalum wa kutoa taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Bukombe kwa mwaka 2020-2025.
Amebainisha kuwa miradi iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa inaonekana na ina faida kwa wananchi huku akieleza jitihada za Dkt. Biteko za kuleta maendeleo katika Jimbo hilo. “ Naomba kuwahakikishia kuwa hamkufanya makosa kumpa kura zenu Dkt. Biteko, naomba niwaambie kuwa mambo haya mazuri ya Bukombe yasingetokea kama msingemchagua Dkt. Biteko.”
Soma Pia:
Aidha, Rais Kikwete amewaasa wananchi wa Bukombe kuwachagua wagombea wa CCM katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ili kuendeleza miradi ya maendeleo katika Jimbo hilo.
- Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
- Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
View attachment 3229218View attachment 3229219View attachment 3229220
Kumbe ni kweli waliposema jamaa ni remoti 😳Angepumzika.
Huyu dingi vp? Mbona hataki kustaafu?Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameupongeza uongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Bukombe kwa Mkutano Mkuu Maalum wa kutoa taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Bukombe kwa mwaka 2020-2025.
Amebainisha kuwa miradi iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa inaonekana na ina faida kwa wananchi huku akieleza jitihada za Dkt. Biteko za kuleta maendeleo katika Jimbo hilo. “ Naomba kuwahakikishia kuwa hamkufanya makosa kumpa kura zenu Dkt. Biteko, naomba niwaambie kuwa mambo haya mazuri ya Bukombe yasingetokea kama msingemchagua Dkt. Biteko.”
Soma Pia:
Aidha, Rais Kikwete amewaasa wananchi wa Bukombe kuwachagua wagombea wa CCM katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ili kuendeleza miradi ya maendeleo katika Jimbo hilo.
- Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
- Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
View attachment 3229218View attachment 3229219View attachment 3229220
Hiki kizee nuksi sanaRais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameupongeza uongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Bukombe kwa Mkutano Mkuu Maalum wa kutoa taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Bukombe kwa mwaka 2020-2025.
Amebainisha kuwa miradi iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa inaonekana na ina faida kwa wananchi huku akieleza jitihada za Dkt. Biteko za kuleta maendeleo katika Jimbo hilo. “ Naomba kuwahakikishia kuwa hamkufanya makosa kumpa kura zenu Dkt. Biteko, naomba niwaambie kuwa mambo haya mazuri ya Bukombe yasingetokea kama msingemchagua Dkt. Biteko.”
Soma Pia:
Aidha, Rais Kikwete amewaasa wananchi wa Bukombe kuwachagua wagombea wa CCM katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ili kuendeleza miradi ya maendeleo katika Jimbo hilo.
- Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
- Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
View attachment 3229218View attachment 3229219View attachment 3229220
Kampeni za kijinga kumpamba mtutsiRais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameupongeza uongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Bukombe kwa Mkutano Mkuu Maalum wa kutoa taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Bukombe kwa mwaka 2020-2025.
Amebainisha kuwa miradi iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa inaonekana na ina faida kwa wananchi huku akieleza jitihada za Dkt. Biteko za kuleta maendeleo katika Jimbo hilo. “ Naomba kuwahakikishia kuwa hamkufanya makosa kumpa kura zenu Dkt. Biteko, naomba niwaambie kuwa mambo haya mazuri ya Bukombe yasingetokea kama msingemchagua Dkt. Biteko.”
Soma Pia:
Aidha, Rais Kikwete amewaasa wananchi wa Bukombe kuwachagua wagombea wa CCM katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ili kuendeleza miradi ya maendeleo katika Jimbo hilo.
- Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
- Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania
View attachment 3229218View attachment 3229219View attachment 3229220
Kwahiyo arudi Rwanda? Kama kachanganya mama au baba kuna kosa?na kazaliwa wapi na kukulia wapi?..Africa ni Moja..Kampeni za kijinga kumpamba mtutsi