Jakaya Kikwete weka mipaka kwenye urafiki

Mpaka sasa hajatajwa marehemu humu, wanachama bado wamelala?
 

sawa chawa tumekusikia weka na namba yako rizwani akuite
 
Ndio ushamtaja tayari
Mi sio mwanachama, sio lia lia, mchumia tumbo! Natafuta ugali wangu kihalali na kwa jasho!

Ninaishi kwa ujira wangu halali bila chochote cha pembeni, tofauti pekee ya kimaisha inayonigusa ni pale vitu vinavyopanda bei, hili ndo huwa linanitikisa, na kwakweli limekuwa janga zaidi kwa kipindi hiki cha miezi 10, si ujira hauongezi ghafla!

Utawaona muda si mrefu, waliominyiwa mirija yao na sasa wanalamba asali.
 
Hebu ongeza SAUTI kidogo ndugu
 
Bila babake leo hii angekuwa Naibu Waziri? Hata huo ubunge angeupata? Tuanzie hapo kwanza.

Pengine ni kweli ana hela zake lakini kuwezi kumtenga na kufaidika kwake na system.
Ridhiwani akuupata ubunge sababu ya baba yake historia ipo wazi.

Aliekuwa mmbunge alifariki na kukawa na fitna kwenye kura za maoni mara ya kwanza kama ilivyo kwenye majimbo mengine wakati baba yake mwenyekiti wa CCM na raisi wa nchi.
 
mie nilielewa kwanini kanitukana sikushangaa hahahaa

Mama aongeze Ruzuku kwny mafuta maana Stress zimezidi kwa vijana wetu
Kuna jamaa limekutukana hapo juu nikashangaa lakini baada ya kusoma hii comment yako sasa naelewa kwa nini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wewe unataka kutuaminisha kwamba unajua January na Nape kuliko wanavyo jijua wenyewe wewe ni investment director wao kujua mali zao? Acha kila mtu ana mfumo wake wamaisha sio lazma kufanana
Ni sawa na hadithi ya sijui mfalme gani yule ya mabinti waliofanana kila mmoja akidai yeye ndio binti mfalme ikaamuliwe utengenezwe mlo mnono halafu katikati taa izimwe; mwenye njaa taa ikiwashwa ataonekana ghafla tu jinsi anavyosakamia.

Kwa hawa vijana mawaziri Bashe na wengine wachache ndio wameonyesha kutoka kwenye shibe baada ya Magufuli.

Kwa Nape na January lipo wazi wametoka kwenye njaa kwa namna wanavyojipendekeza.

Ridhiwani ajaupigania uwaziri kapewa tu katika harakati za Bi Tozo kujipendekeza na ajawahi kumponda Magufuli ata miradi ya NHC Magufuli aliyoacha kuiendeleza kawaachia kina Halima Mdee kuropoka umuhimu wake.

Mtu alietoka kwenye njaa afichiki.
 
Sijakupata vizuri hapo,mara baba yake ni fisadi,mara Ridhiwani anajitegemea kwenye kutafuta,tulia uandike vizuri ueleweke unataka kusema nini...
 
Sijakupata vizuri hapo,mara baba yake ni fisadi,mara Ridhiwani anajitegemea kwenye kutafuta,tulia uandike vizuri ueleweke unataka kusema nini...
Baba yao ni fisadi, lakini akulea watoto wake wategemee ufisadi kama ilivyokuwa kwake.
 
"Mtoa posti unaanza kuuaminisha umma mapema asubuhi kabisa ukiwa na maana unatuandaa tusije kushangaa hongera zako umeshaeleweka"
 
Kwahiyo kuwaingiza watoto kuwa ma dragidira ndiyo malezi bora [emoji849][emoji849]
 
Kwahiyo kuwaingiza watoto kuwa ma gragidira ndiyo malezi bora [emoji849][emoji849]
Hizo hadithi sio kweli hakuwa na njaa ya kujiingiza kwenye biashara hizo.
 
Wewe badala ya kutafuta hela zako unakuja kumsifia Rizwan ana hela wewe inakusaidi nini? Una chuki tu na January na Nape,kifupi wewe ni chawa wa Rizwan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…