Jakaya Kikwete weka mipaka kwenye urafiki

Hizo hadithi sio kweli hakuwa na njaa ya kujiingiza kwenye biashara hizo.
Ukweli tuulize sisi huyo yupo kwenye mtandao wa kidunia kabisa ni wale wanaoitwa e litedrug dira ....neno lenyewe sijui linaandikwaje maana mimi siyo mzuri kwenye kiswahili wala kingereza
 
Bila babake leo hii angekuwa Naibu Waziri? Hata huo ubunge angeupata? Tuanzie hapo kwanza.

Pengine ni kweli ana hela zake lakini kuwezi kumtenga na kufaidika kwake na system.
Wanasemaga kutakatisha pesa huwa maana yake ni nini ??
 
Riz mtu poa sana ,Hana njaa na ni mtu wa msaada sana.Mungu akuweke sana kaka.Ufikie malengo ya moyo wako
 
"Mtoa posti unaanza kuuaminisha umma mapema asubuhi kabisa ukiwa na maana unatuandaa tusije kushangaa hongera zako umeshaeleweka"
Eti anamponda Baba kisha anamfagilia Mwana !! Duh !! Inji hii alisemaga Mrema Lyatonga Wapo watu wanaishi kama wapo Peponi na wapo wengine wanaishi kama wapo Motoni !!! Tusubiri tuone what is coming next kama tutajaaliwa uhai !! Anatuandaa kisaikolojia !! Au vipi ??
 
Umetumwa kuandika haya?
 

Kwani mishahara ya wabunge si inalipwa na walipa kodi ambao wengi ni masikini wa kutupa? Acha tu watu wapige kelele. Nchi zetu hizi watu wanatajirikia kwenye siasa. Nchi za wenzetu ukitaka utajiri, unaacha siasa unaingia sekta binafsi. Mfumo wetu ni chini juu, juu chini.
 

Jakaya Kikwete hadi mungu afanye yake atawatesa watanzania sana​

 
Sasa hapa umesifia,umeponda, au ymekuja kuchafua image za watu kwa jamii? Hata hao uliowaandika huenda wanasoma huku wanasikitika hili bandiko lako.
 
kwa exposure yake naamini ana access ya ushauri mzuri toka kwa watu wenye ujuzi na uzoefu, ondoa shaka endelea kupambana na maisha
 
Tunajua sana ni kuuza ngada maarufu kwa hisani ya system kupitia baba yake. Juzi tu ilikamatwa ngada ya 4B waliyoikamata wengine ni marehemu sasa. Na waliohusika kusaka walio mega mzigo wakati unakamekamatwa ni watu wa system.
 
Ndugu ,Mbona unaongea Kama mtu wa darasa la saba B?Hizo Mali zote Ridhiwani kazipata wapi katika muda mfupi?Au ndio hiyo ya viongozi wa Africa kujitajirisha kwa Mali za walala hoi?Na ww kwa kuwa ni zero brain unakuja hapa kutuambia huo upuuzi tena kwa kujisifia.Labda nikwambie tu,utajiri wa kweli ni wa kina Azam tu hapa Tanzania.Wengine wote hao ni wizi na ufisadi mkubwa .Yaan JK ametajirika na ukoo wake kwa kuwa tu amekuwa Rais.Hiyo ni aibu kubwa Sana kwa familia yake .Ipo siku ,wajukuu zake watalia na kuumia kwa ajili ya huo utajiri wa kuiba na kudhurumu Mali za walala hoi.
 

Jakaya Kikwete hawekagi mipaka kwenye urafiki Hata Hafidh Ameir ni rafiki yake japo amauangaliagaaa ila kuna siku Hafidh Ameir atafanya yaliyotokea Mkoa wa Mwanza​

 
Tujifanye tumekubali kuwa Ridhiwani alipata 'mtaji' kutoka kwenye ubunge. Vipi utajiri wa Miraji ameutoa wapi? (Sijazungumzia chochote kuhusu pesa zilizotolewa benki kwa viroba).
 
Ila ukitaka kujua kiongozi gani ana miliki nini ni rahisi tu, nenda Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma, jaza fomu, lipia gharama za ku - search habari utakazo ILA utatakiwa kuieleza Tume hizo taarifa unazo tafuta za kiongozi husika NI KWA AJILI YA NINI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…