Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
chawa wa mamaHivi huyu mzee fisadi alikataa kabisa kusitaafu?
Yeye Kama Nani anaiwakilisha serikali nje ??
Mungu amzidishie Maisha marefu na afya njema na furaha Rai's kikwete. Jamaa Hana roho mbaya no maana hätä sura Yake Ina nuru. Koska Tu moja alofanya kumsaliti Rai's lowasa.Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha ziara yake kwa kukutana na Rais wa Burkina Faso, Captain Ibrahim Traoré.
Mkutano huo ulifanyika jijini Ouagadougou Aprili 17, 2025 na kuhudhuriwa na maafisa waandamizi kutoka Serikali zote mbili. Katika mkutano huo, Mhe. Kikwete alielezea shukrani zake kwa kupata fursa ya kukutana na Captain Traoré na kumkabidhi ujumbe maalum wa Rais Samia.
"Rais wangu amenituma nije kuwasilisha Ujumbe Maalum kwako na nimefurahi umenipa fursa hiyo na leo umeupokea rasmi", Alisema Dkt. Kikwete.
Dkt. Kikwete aliwasilisha pia salamu za Rais Samia kuhusu umuhimu wa kuimarisha ushirikiano baina ya nchi za Afrika, hususan kubadilishana uzoefu ili kwa pamoja Afrika iweze kuendeleza rasilimali zake kwa faida ya watu wa bara lao.
Nyau de adrizOya Jombis hauni kujimbua kunitag kila mara ?
Naomba Mungu Janaba asindwe. Hata wamtumie Vasco da Gama wa Msooga, hatapita tokana na uchafu wa mazaake.Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha ziara yake kwa kukutana na Rais wa Burkina Faso, Captain Ibrahim Traoré.
Mkutano huo ulifanyika jijini Ouagadougou Aprili 17, 2025 na kuhudhuriwa na maafisa waandamizi kutoka Serikali zote mbili. Katika mkutano huo, Mhe. Kikwete alielezea shukrani zake kwa kupata fursa ya kukutana na Captain Traoré na kumkabidhi ujumbe maalum wa Rais Samia.
"Rais wangu amenituma nije kuwasilisha Ujumbe Maalum kwako na nimefurahi umenipa fursa hiyo na leo umeupokea rasmi", Alisema Dkt. Kikwete.
Dkt. Kikwete aliwasilisha pia salamu za Rais Samia kuhusu umuhimu wa kuimarisha ushirikiano baina ya nchi za Afrika, hususan kubadilishana uzoefu ili kwa pamoja Afrika iweze kuendeleza rasilimali zake kwa faida ya watu wa bara lao.
Halafu jamaa anavaa simple tu,hizo gwanda sijui kama ana pair zaidi ya mbili na hiyo buti hapo mguuni.Captain Traore na mguu wa kuku ni kama Masai na sime
Acha ujinga wako hapa weweHivi bongo hatuna kijana makini kama Traore?? Inaonekana wamejaa wajinga kama Lucas Mwashambwa
Wafupi wa mama
Ulitaka aende babako? Laumu ukoo wako kwa upumbavu wenu huoHivi huyu mzee fisadi alikataa kabisa kusitaafu?
Yeye Kama Nani anaiwakilisha serikali nje ??
😄 🤣 😂 😆Acha ujinga wako hapa wewe
Diet gani mtu usinone ht kdg? Mtu ni skeleton kabisa, amemwambia nani hatakufa? Angekutana na ule upepo wa China juzi si ungetosha kuchukua uhai wake?Ila janabi anaumwa bhana, anajificha kwenye kichaka cha Diet !!
Anyway ushauri wake tutauzingatia