Jakaya Mrisho Kikwete alivyokutana na Rais wa Burkina Faso, Captain Ibrahim Traoré

Jakaya Mrisho Kikwete alivyokutana na Rais wa Burkina Faso, Captain Ibrahim Traoré

Hivi bongo hatuna kijana makini kama Traore?? Inaonekana wamejaa wajinga kama Lucas Mwashambwa

Wafupi wa mama
Deep down Lucas Mwashambwa NI IQ kubwa sana
Na atatusaidia Sana sis upinzani Kwa maana imeandikwa .

2025 October elections.

Upinzani kamili unatoka ndani ya CCM YENYEWE .(Utabili WA hayati Nyerere,),😁

NANI ATACHAGUA MAMA AONGEZE TAIFA ?

majini yakajibu .

La hasha hakuna .


Na jibu likawa.


TAL.
 
hususan kubadilishana uzoefu
Hili la kubadilishana uzoefu, Tanzania ijifunze uwepo wa huyo mwenyeji wao madarakani. Labda huku nako tutahitaji uzoefu wa aina hiyio kama kila kitu kitashindikana kubadili nyoyo ngumu za hawa watawala wa sasa.
 
Deep down Lucas Mwashambwa NI IQ kubwa sana
Na atatusaidia Sana sis upinzani Kwa maana imeandikwa .

2025 October elections.

Upinzani kamili unatoka ndani ya CCM YENYEWE .(Utabili WA hayati Nyerere,),😁

NANI ATACHAGUA MAMA AONGEZE TAIFA ?

majini yakajibu .

La hasha hakuna .


Na jibu likawa.


TAL.
Anajua hata ccm wenyewe hawamchaagui kungekuwa na uchaguzi huru no wonder aligoma kutoka nje kule dodoma
 
Mbona kwenye suala la tume huru ya uchaguzi hatusaidii?.
Dah,
Natamani waandishi wa habari wanaokutana na JK wangemuuliza maoni yake juu ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya.
Huyu angekuwa na hekima angalau nusu ya ile ya Warioba, nchi ingekuwa salama mno
 
Back
Top Bottom