Wakati tukimaliza matanga ya bibi yetu Elizabeth, nimetafakari sana mienendo ya viongozi wetu hapa Tanzania. Hakika, Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na madhaifu yake ni mtu mwenye hekima nyingi.
Huyu mzee alitufumbua kuhusu kuchanganya akili za kuambiwa na za kwetu. Hali kadhalika alituasa tunapoenda sehemu kwa minajili ya kuwa viongozi basi tusirithi maadui wa watangulizi wetu.
Hekima ya huyu mzee iko praticlal na mengi aliyo yasema au anayo yasema yana mafunzo makubwa, japo wengi wetu tunamchukulia poa. Kwangu mimi video hii hapa chini ni moja ya maneno yake yanayonitafakarisha sana.
Your browser is not able to display this video.
"Siyo kwamba sisikii, wala siyo kwamba siambiwi yanayosemwa, au sijui kusema, au sina la kusema, la hasha! Sijafanya hivyo kwasababu sioni faida yake."
Tuendelee kumuenzi mzee wetu huyu, na Mungu amjaalie maisha marefu.
Wakati tukimaliza matanga ya bibi yetu Elizabeth, nimetafakari sana mienendo ya viongozi wetu hapa Tanzania. Hakika, Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na madhaifu yake ni mtu mwenye hekima nyingi.
Huyu mzee alitufumbua kuhusu kuchanganya akili za kuambiwa na za kwetu. Hali kadhalika alituasa tunapoenda sehemu kwa minajili ya kuwa viongozi basi tusirithi maadui wa watangulizi wetu.
Hekima ya huyu mzee iko praticlal na mengi aliyo yasema au anayo yasema yana mafunzo makubwa, japo wengi wetu tunamchukulia poa. Kwangu mimi video hii hapa chini ni moja ya maneno yake yanayonitafakarisha sana. View attachment 2363152
"Siyo kwamba sisikii, wala siyo kwamba siambiwi yanayosemwa, au sijui kusema, au sina la kusema, la hasha! Sijafanya hivyo kwasababu sioni faida yake."
Tuendelee kumuenzi mzee wetu huyu, na Mungu amjaalie maisha marefu.
Hii ni kipindi alipohutubia bunge,na hapa alikuwa anajibu vitisho vya kagame,kagame alitoa povu,aliposhauliwa akutane na wapinzani wake wa vita,hizi busara zake laiti angezitumia vzr tungepata faida,charity begins at home,tatizo mfumo ccm wa wizi umemnufaisha yeye na familia yake,kwanza atuambie gesi yetu iliishia wapi?