Jalada halionekani

Rutorial k

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
960
Reaction score
855
Ni muda mrefu nafatilia kesi ya m ama ambae anaumwa tangia mwaka 2012.ajabu nikwamba jarada halionekani,nilienda mahakama ya wilaya ambapo kesi hiyo ilihukumiwa wkadai file liliitwa mahakama kuu hata hvyo nilipoenda high ccourt wakadai hawaijui hiyo kesi.naomba-ushauri
 
tetemesha mkono wa kulia unapofika mahakamani,
Kisha jifunze kuongea na watu wa mahakama vizuri zaidi na kwa karibu,
Rushwa kisheria ni kosa ,lakini tanzania haki haipatikani bila ya hiyo,
TAFAKARI FANYA MAAMUZI
Ukishindwa zaidi ripoti takukuru.
 
tetemesha mkono wa kulia unapofika mahakamani,
Kisha jifunze kuongea na watu wa mahakama vizuri zaidi na kwa karibu,
Rushwa kisheria ni kosa ,lakini tanzania haki haipatikani bila ya hiyo,
TAFAKARI FANYA MAAMUZI

Ulichoandika ni kweli kabisa!

'Jalada halionekani' ni code words za 'toa kitu kidogo'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…