Halaf kama nikiiona au nisipoiona inakuwaje mkuu nielezee??
Miwani inatumiwa na mtu yeyote,gurantee ni miaka 100 mnaweza kutumia kwa kupokezana miwani inauzwa sh 160000
Toba ! ,naona vidoti !tena havitulii kama kipira chandimu ,kila nikipwesa navyo vinahamia gridi nyingine ndio kusema mimacho yangu ishatofyoka?Kwa wasioweza hii wamtafute mtoa mada
Toba ! ,naona vidoti !tena havitulii kama kipira chandimu ,kila nikipwesa navyo vinahamia gridi nyingine ndio kusema mimacho yangu ishatofyoka?
Hebu niambie, kama mtu ana tatizo la kutoona mbali hiyo miwani itamsaidia vipi? Na je asiyeweza kuona karibu na yeye anavaa miwani hiyo hiyo au kila mwenye tatizo ana miwani inayomfaha?
Hebu tufafanulie.
Tiba
Asante mkuu tutakutafuta
Wote wanatumia miwani hyo hyo kwan vioo vya miwan havina lensi ila frem ndo zina regulate matatzo ya macho na unaweza ukapeleka frem kwa daktar akakuwekea vioo vya lensi unayoihitaj miwan hii ni maalum pia kwa ajili ya kuzuia mionz tunayoipata toka kwenye comptrs,simu nk
Asante kwa ufafanuzi. Kama nimekuelewa, frame unazouza wewe ndio zinafanya kazi ya ku-protect macho. Suala la lensi ni tofauti kwani kila mtu inabidi atumie lensi zinazoendana na matatizo ya macho yake. Sio?
Tiba
Very tricky! Dot nyeusi zipo lakini unahitaji kuwa makini kuziona...Kwa wasioweza hii wamtafute mtoa mada
Tangu nimeitumia sijawah pata tatzo lolote,na imensaidia kwa kias kikubwa