Jali afya ya macho yako

Jali afya ya macho yako

Miwani inatumiwa na mtu yeyote,gurantee ni miaka 100 mnaweza kutumia kwa kupokezana miwani inauzwa sh 160000

Hebu niambie, kama mtu ana tatizo la kutoona mbali hiyo miwani itamsaidia vipi? Na je asiyeweza kuona karibu na yeye anavaa miwani hiyo hiyo au kila mwenye tatizo ana miwani inayomfaha?

Hebu tufafanulie.

Tiba
 
Kwa wasioweza hii wamtafute mtoa mada
Toba ! ,naona vidoti !tena havitulii kama kipira chandimu ,kila nikipwesa navyo vinahamia gridi nyingine ndio kusema mimacho yangu ishatofyoka?
 
Hebu niambie, kama mtu ana tatizo la kutoona mbali hiyo miwani itamsaidia vipi? Na je asiyeweza kuona karibu na yeye anavaa miwani hiyo hiyo au kila mwenye tatizo ana miwani inayomfaha?

Hebu tufafanulie.

Tiba

Wote wanatumia miwani hyo hyo kwan vioo vya miwan havina lensi ila frem ndo zina regulate matatzo ya macho na unaweza ukapeleka frem kwa daktar akakuwekea vioo vya lensi unayoihitaj miwan hii ni maalum pia kwa ajili ya kuzuia mionz tunayoipata toka kwenye comptrs,simu nk
 
Miwani inasaidia kustimulate mzunguko wa damu kwenye macho ambao husaidia macho katka uwezo wake wa kuona vzur
 
Wote wanatumia miwani hyo hyo kwan vioo vya miwan havina lensi ila frem ndo zina regulate matatzo ya macho na unaweza ukapeleka frem kwa daktar akakuwekea vioo vya lensi unayoihitaj miwan hii ni maalum pia kwa ajili ya kuzuia mionz tunayoipata toka kwenye comptrs,simu nk

Asante kwa ufafanuzi. Kama nimekuelewa, frame unazouza wewe ndio zinafanya kazi ya ku-protect macho. Suala la lensi ni tofauti kwani kila mtu inabidi atumie lensi zinazoendana na matatizo ya macho yake. Sio?

Tiba
 
Made in China au? Maana unaweza kununua badala ya kutibu inakupa mizigo mingine kama kansa ama pumbu kuwa kubwa shinda awali na vituko kibao.
Tangu nimeitumia sijawah pata tatzo lolote,na imensaidia kwa kias kikubwa
 
Asante kwa ufafanuzi. Kama nimekuelewa, frame unazouza wewe ndio zinafanya kazi ya ku-protect macho. Suala la lensi ni tofauti kwani kila mtu inabidi atumie lensi zinazoendana na matatizo ya macho yake. Sio?

Tiba

Ndyo japo kwa kutumia miwan hyo utaona mabdliko makubwa ya matatzo ya macho yako hata kama huon mbali au karibu itakusaidia kwa kias kikubwa,mimi sioni mbali tangu nimeanza kuitumia naona mabadliko
 
Tangu nimeitumia sijawah pata tatzo lolote,na imensaidia kwa kias kikubwa

hauna kajipu cha kiaina chini ya pumbu? Maana hizi simu za hajabu zinaanzaga hivi hivi, mara kipele kidogo chini ya pumbu then baada ya muda jipu mkunduni then baada ya mateso mengine ya hapa na pale hufuatia kifo.
 
Back
Top Bottom