Jamaa aanguka bank

Jamaa aanguka bank

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
Jamaa mmoja alikuwa anapita karibu na bank ghafla akajikuta ameanguka waliokuwa karibu nae wakaanza kupiga kelele jamani jamani leteni maji huyu mtu kazidiwa.
Jamaa kusikia vile akanyanyuka kwa kishindo na taharuki, akaanza kuwajibu "ebo nimwagiwe maji kwani nimeanguka karibu na bomba! Nipewe pesa niondoke".
 
Back
Top Bottom