Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tumefika pabaya sana! sasa condom alivaa saa ngapi? au ni mwendo wa kujilipua tu?
Mtu kama huyu ambaye anajifanya kajogoo, anastahili adhabu hii kwenye video:-
Haiwezekani umati wakusanyike kushuhudia tu jambo la kinyama namna hiyo. Kama ni kweli basi hao watazamaji watakuwa na matatizo makubwa zaidi ya akili.
Kama mpaka kesho asubuhi hawajamchoma moto huyo mbakaji na nyumba yake. basi watu wa makanya wote..............................................................
Hao raia wa magomeni makanya sio kabisa,i wish hili tukio lingetokea pale home sweet home tunduma!Really? What a disgrace...............ina maana mjeshi yuko juu ya sheria? au let me rephrase that ina maana watu wote wa Magomeni makanya ni macoward kiasi gani?