Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Tukio la kushangaza kutoka Kenya limekuwa gumzo mitandaoni baada ya video ya CCTV kuonyesha mwanamume akifanya kitendo cha aibu ndani ya duka huku akimwangalia mwanamke aliyekuwa dukani hapo.
Jamaa huyo alinaswa akipiga Punyeto, kitendo cha kujiridhisha waziwazi, jambo lililowafanya wengi kushangazwa na kushindwa kuelewa alichokuwa akifikiria.