Jamaa aelezea safari yake ya biashara miaka 13 kwa picha nne

kwa hiyo kwa akili yako unataka kusema mwaka 2005 alipo kuwa machinga,amaefanya umachinga ndani ya miaka 3 awe na duka hapo juu kwenye picha namba 2?
mafanikio ya mtu yana SIRI kubwa ambayo anaijuwa yy tu so sometim ishu as you are hawa wafanyabiashara hatari sana
 
kwa hiyo kwa akili yako unataka kusema mwaka 2005 alipo kuwa machinga,amaefanya umachinga ndani ya miaka 3 awe na duka hapo juu kwenye picha namba 2?
mafanikio ya mtu yana siri kubwa ambayo anaijuwa yy tu so sometim ishu as you are hawa wafanyabiashara hatari sana
 
Nakubali bro bila connection mambo ni magumu sana, ndo naufanyia kazi sasa huu msemo na naziona dalili za mafanikio,, eenheee Mungu nisaidie!
connection ktk life ni muhim sana mkuu
mi binafsi kuna mamb nishaangaika nayo ila baada ya kupata connection fasta tu yame tiki
 
mafanikio ya mtu yana siri kubwa ambayo anaijuwa yy tu so sometim ishu as you are hawa wafanyabiashara hatari sana
Mmmh! mikwara tu hakuna chochote

Et siri kubwa duania hii hainaga siri hasa kizazi chetu hiki cha .com ndo kabisaaa
 
watu kwa kusifia/kuponda matokeo tuko vzr kama tungepata fahamu juu ya michakato hapo katikati wengi tusinge sema tuyasemayo
 
Mmmh! mikwara tu hakuna chochote

Et siri kubwa duania hii hainaga siri hasa kizazi chetu hiki cha .com ndo kabisaaa
Nilitaka kushangaa uzi usifiwe tu kwa mafanikio yake mwenyewe bila mtu kusema ni ushirikina
Eti siri kubwa khaaa yaani kaistiri shirk hahaha
Jamaa kapiga kazi kwa juhudi zake mwenyewe
 
Huwa ninaamini mafanikio ni matokeo ya mipango, juhudi na Nidhamu. Hata kwa huyo kijana naamini ndio njia aliyopitia.

Siamini kabisa katika kitu kinachoitwa Connection. Connection sio kitu halisi katika hali ya ujumla, ni sawa na kucheza bahati nasibu. Kiujumla hakipogo, na hata mara chache kinapotokea kwa baadhi ya watu bado kinaweza kisimvushe muhusika.
 
Na wale wa "njoo nikuonyesha kumpeleka mpenzio kileleni kutumia vidole" walienda wap!!i Ama walisikia hapa Kenya tunalamba Lolo[emoji39][emoji39][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji119]
Samahani mkuu neno lolo linamanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…