BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
Watu wanatafuta saana visababu..maskini ana connection gani?
tusiweke visingizio, kutoboa bila connection inawezekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanatafuta saana visababu..maskini ana connection gani?
tusiweke visingizio, kutoboa bila connection inawezekana
mimi na wewe hatuna maelezo ya kina, lkn kwa uzoefu wangu sio lazima uwe na connection.kwa hiyo kwa akili yako unataka kusema mwaka 2005 alipo kuwa machinga,amaefanya umachinga ndani ya miaka 3 awe na duka hapo juu kwenye picha namba 2?
mafanikio ya mtu yana SIRI kubwa ambayo anaijuwa yy tu so sometim ishu as you are hawa wafanyabiashara hatari sanakwa hiyo kwa akili yako unataka kusema mwaka 2005 alipo kuwa machinga,amaefanya umachinga ndani ya miaka 3 awe na duka hapo juu kwenye picha namba 2?
mafanikio ya mtu yana siri kubwa ambayo anaijuwa yy tu so sometim ishu as you are hawa wafanyabiashara hatari sanakwa hiyo kwa akili yako unataka kusema mwaka 2005 alipo kuwa machinga,amaefanya umachinga ndani ya miaka 3 awe na duka hapo juu kwenye picha namba 2?
connection ktk life ni muhim sana mkuuNakubali bro bila connection mambo ni magumu sana, ndo naufanyia kazi sasa huu msemo na naziona dalili za mafanikio,, eenheee Mungu nisaidie!
Mmmh! mikwara tu hakuna chochotemafanikio ya mtu yana siri kubwa ambayo anaijuwa yy tu so sometim ishu as you are hawa wafanyabiashara hatari sana
Nilitaka kushangaa uzi usifiwe tu kwa mafanikio yake mwenyewe bila mtu kusema ni ushirikinaMmmh! mikwara tu hakuna chochote
Et siri kubwa duania hii hainaga siri hasa kizazi chetu hiki cha .com ndo kabisaaa
Na wale wa "njoo nikuonyesha kumpeleka mpenzio kileleni kutumia vidole" walienda wap!!i Ama walisikia hapa Kenya tunalamba Lolo[emoji39][emoji39][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji119]
Samahani mkuu neno lolo linamanisha nini?Na wale wa "njoo nikuonyesha kumpeleka mpenzio kileleni kutumia vidole" walienda wap!!i Ama walisikia hapa Kenya tunalamba Lolo[emoji39][emoji39][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji119]
TaxifySamahani mkuu neno lolo linamanisha nini?
Ok sawaTaxify
Kuna baadhi yaOk sawa
tena nazitamani sana!
Na bado mnanunua [emoji4][emoji4]Halafu kirahisi tuu
"Baby naomba ninunulie iPhone!"
People are always interested in results and not the process mkuuwatu kwa kusifia/kuponda matokeo tuko vzr kama tungepata fahamu juu ya michakato hapo katikati wengi tusinge sema tuyasemayo