princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Pichani ni chalii mwenye miaka29 amenyakwa na polisi nchini Zambia kwa kumnyandua mdada ambae ni mgonjwa wa akili.
Kwa mujibu wa shuhuda ambae ni jirani wa hiyo njemba amesema sio mala ya kwanza ni kawaida yake iyo njemba kila siku usiku huwa inaenda kumdownload manzi huyo ambae dishi lake lishayumba kitambo tangu enzi Wema sepedele miss Tz,Njemba hiyo huzama nae ndichi na kumfekeche kisha asubuhi sana humtoa nje kimachale ili raia wasimuone na kushtukia ofa yake iyo ..
@ChaliiYaKijengeJuu.