Jamaa akamatwa kwa kufanya ngono na kichaa

Jamaa akamatwa kwa kufanya ngono na kichaa

Pichani ni chalii mwenye miaka29 amenyakwa na polisi nchini Zambia kwa kumnyandua mdada ambae ni mgonjwa wa akili.

Kwa mujibu wa shuhuda ambae ni jirani wa hiyo njemba amesema sio mala ya kwanza ni kawaida yake iyo njemba kila siku usiku huwa inaenda kumdownload manzi huyo ambae dishi lake lishayumba kitambo tangu enzi Wema sepedele miss Tz,Njemba hiyo huzama nae ndichi na kumfekeche kisha asubuhi sana humtoa nje kimachale ili raia wasimuone na kushtukia ofa yake iyo ..


@ChaliiYaKijengeJuu.
Minato imekuwa adimu sana
 
mapenzi siku hizi gharama...na daima watu hutafuta uwepesi kadri wawezavyo!
 
Inawezekana jamaa hataki kugaramika,anataka utelezi tu.
 
Kama umesoma Sheria mkuu kasome Article 130,sub article2 paragraph C,,Imeelezea Kufanya mapenzi na mtu ambae hayuko sawa kiakili au umemnywesha pombe au madawa adhabu yake ni prison for life au 30years..
Sheria zenu zinajipinga sana.
Si nao wana haki ya kupenda, kupendwa, kuoa na kuolewa

[emoji375][emoji375]
 
Back
Top Bottom