princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Mbona mwenyewe yuko happy tuu? Kama Walifanya patano hakuna shidaPichani ni chalii mwenye miaka29 amenyakwa na polisi nchini Zambia kwa kumnyandua mdada ambae ni mgonjwa wa akili.
Kwa mujibu wa shuhuda ambae ni jirani wa hiyo njemba amesema sio mala kwanza ni kawaida yake iyo njemba kila siku usiku huwa inaenda kumdownload manzi huyo ambae dishi lake lishayumba kitambo tangu enzi Wema sepedele miss Tz,Njemba hiyo huzama nae ndichi na kumfekeche kisha asubuhi sana humtoa nje kimachale ili raia wasimuone na kushtukia ofa yake iyo ..
@ChaliiYaKijengeJuu.
Kama umesoma Sheria mkuu kasome Article 130,sub article2 paragraph C,,Imeelezea Kufanya mapenzi na mtu ambae hayuko sawa kiakili au umemnywesha pombe au madawa adhabu yake ni prison for life au 30years..Mbona mwenyewe yuko happy tuu? Kama Walifanya patano hakuna shida
Jr[emoji769]
Hii ni sheria ya Zambia ? Au sheria za Tanzania zinavuka mipaka ?Kama umesoma Sheria mkuu kasome Article 130,sub article2 paragraph C,,Imeelezea Kufanya mapenzi na mtu ambae hayuko sawa kiakili au umemnywesha pombe au madawa adhabu yake ni prison for life au 30years..
Apo sheria zinatofautiana bro ndomaana kila nchi ina katiba yake,,but kwa Tz iko ivo sijui uko ZambiaHii ni sheria ya Zambia ? Au sheria za Tanzania zinavuka mipaka ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee noma sana ariff.!!Ila Yuko sexy. Utakuta demu mnato kwa vile mileage inasoma chache.
Best kichwa cha chini kikipata moto cha juu hakifanyi kazi Kuna mwanaume nilimsikia anasema hivyo 😀😀😀Kuna matukio yajafanya mtu unafikiria mara mbili akili za wanaume.
Nadhani hii sheria ni kwa mtu ambaye atakuwa anamchukua kwenda kumfaidi akiwa kapewa midawa ile ya usingizi. Je, akiwa ni mke wa mtu ameharibikiwa huku tiyari ni wanandoa?? Mbona tunao huku kitaa wanawake wanaozaa na waume wao wenye dish corner?Kama umesoma Sheria mkuu kasome Article 130,sub article2 paragraph C,,Imeelezea Kufanya mapenzi na mtu ambae hayuko sawa kiakili au umemnywesha pombe au madawa adhabu yake ni prison for life au 30years..
Ni ujinga tu.Best kichwa cha chini kikipata moto cha juu hakifanyi kazi Kuna mwanaume nilimsikia anasema hivyo [emoji3][emoji3][emoji3]
Huh.!!Best kichwa cha chini kikipata moto cha juu hakifanyi kazi Kuna mwanaume nilimsikia anasema hivyo í ½í¸í ½í¸í ½í¸
Kuzidiwa2 mamiloo,no way out au chalii ni domo zege.Kuna matukio yanafanya mtu unafikiria mara mbili akili za wanaume.
kuna mambo mengine japo si haki ila wahusika waliotendewa huwa ni furaha kutendewa..[emoji3]Mbona mwenyewe yuko happy tuu? Kama Walifanya patano hakuna shida
Jr[emoji769]