Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndoa ni mitikisiko ya ubongo ya kujitakia,ntachangia tu harusi za wenzangu..
Hapana olewa mimi!
huyo dada najua yupo kwenye hali ngumu apunguze mawazo asije akamiscarry bure, cha kufanya amsamehe mume wangu waanze upya, na huyo mwanaume aache pombe kabisa kwani ndo chanzo cha hayo yote kutojea. Pia wasali sana na wampe Mungu maisha yao ili wafurahie ndoa yao na watoto watakaojaliwa.
jamaa angekomaa tu kwamba mzigo siyo wa kwake mpaka upelekwe kwa chief govt chemist kupima DNA teh teh teh
Umeona eeeh?! Yaani hapa nazikusanya kwa nguvu zote lazima kitaeleweka tu..Kaka huyo binti wa kichaga tena hao si ndo wanasemaga we nenda kote ila ulete hela nyumbani. Hapo anapiga mkwara tu, ukimuangushia euro kadhaa mezani anatulia tuli.
Hii haina haja ya kukimbia, mwendo mdogomdogo bila haraka yoyote ndio mpango mzima...hahahaa bado masaa mangapi hiyo timing yake ikamilike,kama vipi kimbia kabisa unaweza kunibadilisha lol!
ndoa ni mitikisiko ya ubongo ya kujitakia,ntachangia tu harusi za wenzangu..
Hapana olewa mimi!
jamaa angekomaa tu kwamba mzigo siyo wa kwake mpaka upelekwe kwa chief govt chemist kupima DNA teh teh teh
Ushauri wangu kwako kiongozi, kaa na huyo binti najua distance will shape that relationship. Siyo busara kwa mwanamke kusema eti sitosamehe au siolewi ukitaka kujua ungefanyaje subiri siku yakukute. Binafsi huwa naamin sana mahusiano yenye amani hata kama itagharimu sana kuipata na ndoa za aina hii hudumu sana asikudanganye mtu.
wewe kaa na huyo mwanaume mwenzio mweleze kwa uwazi juu ya kilichotokea ili ajirekebihe pia mweleze juu ya mzigo na kazi aliyonayo hasa ya ubaba manake kuwa baba is more than having wife and kid. na maisha haya ya bongo sijui kwa stail hiyo kama atajenga. tena msemeshe kwa maneno makali siyo kwa hasira bali tumia maneno yenye kutia uchungu
Hapana mkuu, mie sio wa kihivyo ndo maana mke wangu tulikubaliana kuwasaidia na mshkaji ananijua in and out, on top of that sina mazoea na shem wangu na kumbuka ana ujauzito, nitakuwa mtu wa ajabu kuomba mchezo kwa mtu mwenye matatizo kiasi hicho.
Huyo bwana siyo mstaarabu na naona ni tabia yake. Kuna siku atapiga kavu baada ya network kukatwa na pombe na hapo either + au - kuukwaa. Ushauri wangu pima kwanza kabwa ya kumpokea na tafuta wazee 2-3 wawapatanishe ili kuepuka balaa za mambo ya ndani; na hii itasaidia huyo binti asije akajidhuru na kwenda pema/pabaya peponi. Pia huyo binti ajue ndani ya ndoa kuna mambo makubwa zaidi ya hayo.
Mwambie asamehe kwanza ampe hongera kwakukumbuka mpira wengi tunatembelea limu!!pili ajue daladala kugongwa ni sehemu maisha yake hata liwe jipya ili mradi ni daladala litagongwa tu!!
Bondpost, hivi hadi leo hujajua kama hawa viumbe wanapokua na pregy , hiyo makitu yao ndiyo huongezeka kiwango cha ubora?
It become sweetest twicely! Inakua much warm than normal. Kama hujastukia fatilia.
Ndugu yangu, ninapoandika ujumbe huu mke wa jamaa ametia timu nyumbani kwangu, tumempatia chumba chake na atakaa mpaka atakapoamua either kurudi kwa mumewe au kwenda mahakamani kuvunja ndoa, na kiukweli nategemea hatafikia uamuzi wa kwenda mahakamani kwani hata mimi na mke wangu hatutahusika tena kwa maamuzi yake kwani ndoa ni yao wawili tu.
Naweza kusema kuwa mungu atawasaidia, mshkaji amekuwa mpole na bado anajutia alichokifanya kwani hakudhamiria kufanya hivyo, na nimemuacha kwake while mkewe keshaondoka kuja kwetu. Naamini its just a matter of time, lets put our fingers crossed!