Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #121
Yesu amekataza cutest kabla hamjaoanaNdo yanayoharibu vijana.
Amemtambulisha Mchumba wake akiwa ameweka Bleach Kichwani, wakwe wamemkataa, afanyaje?
Samahani Nimekuwa buzy naona kama napitwa Kwani wanawake wenye bleach kichwani wana shida gan? Mbona kila mahali wanakataliwa? Nini mbaya nyiee? Angalieni Tabia na Roho ya Mtu rangi ni upendo acheni ushamba jamaa