Hivi mkuu huwa unalala saa ngapi? Maana mda wote nakukuta online halafu kitu kizuri zaidi kila post wewe ni wa kwanza kuchangia mawazoππππ
Hahahahaaaaa kweli aiseeHivi mkuu huwa unalala saa ngapi? Maana mda wote nakukuta online halafu kitu kizuri zaidi kila post wewe ni wa kwanza kuchangia mawazoππππ
Usiwaze fanya chochote unachojisikia ujafanya kosa loloteSawa lakini sina mzozo na mtu, mimi nacomment zangu ilimradi sijavunja sheria za JF na kumkwaza mtu yeyote
Jamaa anagombea kuwa mod [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hivi mkuu huwa unalala saa ngapi? Maana mda wote nakukuta online halafu kitu kizuri zaidi kila post wewe ni wa kwanza kuchangia mawazoππππ
Na ilimradi sijavunja sheria.Usiwaze fanya chochote unachojisikia ujafanya kosa lolote
Hiki kitu hakipo akilini mwangu mkuuJamaa anagombea kuwa mod [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kila nikifungua uzi namkuta amekuwa wa kwanza kukomenti
Hivi mkuu huwa unalala saa ngapi? Maana mda wote nakukuta online halafu kitu kizuri zaidi kila post wewe ni wa kwanza kuchangia mawazoππππ