Jamaa alijitahidi kuchambua,anastahili pongezi!!

Jamaa alijitahidi kuchambua,anastahili pongezi!!

Mwacheni joseverest,kwanza big up mkuu kwa kuweza kubrand your name in unique fashion way....nyie mnaomponda mnajulikana Hata na member yoyote hapa jf...je unajua faida za yeye kuwa verified user au kujulikana hapa jf....alipotea mwezi mmoja akaanzishiwa threads kla mtu anamuulizia....joseee wee be the first to comment achana nao
 
Hivi mkuu huwa unalala saa ngapi? Maana mda wote nakukuta online halafu kitu kizuri zaidi kila post wewe ni wa kwanza kuchangia mawazo🙂🙂🙂🙂

Kwani na wewe hua unalala saa ngapi hadi kila ukiingia online unamkuta mwenzio??
Kisu kinakata kisu[emoji1321]
 
Back
Top Bottom