Jamaa alikuwa provoked. Afungwe miaka 3 arudi uraiani

kisa alianza kumlinganisha na mchepuko wake kwenye performance. Jamaa akasubiria Ile imefika alfajiri akamvamia yule mwanamke na kumfunika na mto usoni mpaka alipokata roho, akakimbia mpaka Leo ni miaka 11 hajapatikana.



hicho kisa ukakitolea wapiiii na alitoweka baada ya mauaji????/
 
Huyu alijipanga na alikua na mkakati mzuri wa kujificha
 
Wanawake wa Kitanzania wanauzi sana hasa wakinogewa na dudu.

Jamaa hakuwa na namna zaidi ya kutwanga mtu risasi.

Afungwe miaka 3 arudi uraiani kuendelea na maisha
Kuna mzee mmoja wa kikurya aliwai nambia hivii nanukuu"MWANAMKE ANA MASIKIO MATATU SIKIO LA TATU LIPO KWENYE JAGINA/ PAPUCHI YAKE"

Hakunaa kitu kinauma kama mtu unampenda yeye anampenda mwingine
 
Hakuna provocation ya hivyo,provocation inabidi tendo kuudhi au kudhalilisha utu liwe limefanyika Muda huo huo,linaangaliwa kitu inaitwa heat passion.Jamaa alijiandaa kufanya tukio kwa Muda mrefu.
Una uhakika gani kuwa hakuna tendo lolote la kuudhi au kudhalilisha lililofanyika muda ule?
 
Usimshirikishe Pascal Mayalla itakula kwako. Mwamba GT anahangaika kwa sangoma apate Teuzi.
 
Wanasema ana kansa ya tumbo.Kama ni kweli hata hukumu haitamkuta atakuwa ameenda zake
 
Nyie mlijuaje yote hayo kwamba alimfunika kwamba alimlinganisha na mchepuko wake katika majamboz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…