Jamaa alikuwa provoked. Afungwe miaka 3 arudi uraiani

Jamaa alikuwa provoked. Afungwe miaka 3 arudi uraiani

Kwa usalama wake afungwe miaka 30, mtaani ataishije na watoto wake wanajua amemuua mama yao kwa sababu yoyote ile.

Kwamba Jane hana familia ikae tu iangalie mahakama inavyompa favor huyo muuaji.

If he wanted to get rid of his wife he would have done that with no trace connection to him, Ni mjeuri tu alitaka kuunesha ulimwengu kuwa anayaweza.

Labda aeleze mahakama kwa ushahidi kuwa mke alikuwa anajaribu/ana mipango ya kumuua pia, otherwise hachomoki niko nimekaa pale. Kesi yenyewe imegusa pabaya kila mtu mkubwa ameitolea maoni.

Hakuna manslaughter ya mtu kusema “nimemaliza kazi”, kutoka atokako na bastola kuja kumkuta mtu na kumpiga risasi (Kama story ni za kweli) That’s murder.
Unakumbuka mmiliki wa mabasi ya j4 mbona yupo mtaani sasa hivi
 
Hiyo kesi ya huyo jamaa ina mambo mengi sana ambayo kwa haraka haraka huwezi kufikia conclusion na kudai kwamba alikuwa provoked, Mazingira ya mauwaji yanaanza mbali zaidi Je ni nini kilikuwa chanzo cha jamaa kuwa provoked?
 
Inaonekena ulikowepo ndani wkt wanazozana, had unafahamu kuwa sio manslaughter ni murder case,
Ukisema alijiandaa unamaanisha nini labda ndugu shaidi wa kuona?
Kwani wewe unafikiri hiyo bastora ilikuwa kabatini? Hujasikia kwamba walikuwa na migogoro kabla.Kajifunze kwanza nini kinaamua kuwa murder au manslaughter
Using an arm against unarmed person ni excessive force au siyo excessive force?.Angekuwa imetokea coincidence labda kamfumania kabla heat passion haijapita labda ingekuwa.Tafuta kesi ya R v.Said Mwamwindi imeanalyse mambo yote ya insanity na provocation .
 
Utetezi wa wanaume kwa Bwana Kweka unanikumbusha movie ya Barreda, dentist wa Argentina aliyemuua mke na binti wake kwa kusema maneno ya uongo kuwa walimtesa, badala ya kulaaniwa kwa mauaji, wanaume kibao wakawa wanam support kama shujaa wao, wengine wakimfananisha na Yesu.

Kwa hiyo hii tabia ya vita vya jinsia na wanaume kujitetea pamoja, hata kumtetea muuaji kama mwanamme aliyeonewa, haijaanza leo, inajirudia tu.

Na wanaume wengi wanakuwa kama wanaelezea matatizo yaliyomo katika ndoa zao kwa kum support mtu kama Barreda au Kweka.

Ni vigumu sana mtu ambaye yupo katika ndoa imara yenye upendo ku support muuaji.

Mwanamke kama mmeshindwana mnaachana tu, tena hata mali ikiwezekana muachie uchume nyingine kuliko kumuua.


View: https://youtu.be/ifGmej1btck?is=8H7LOXxm67VbIuyT
 
Wanawake wa Kitanzania wanauzi sana hasa wakinogewa na dudu.

Jamaa hakuwa na namna zaidi ya kutwanga mtu risasi.

Afungwe miaka 3 arudi uraiani kuendelea na maisha
Huyu Kamanda huyu!sijui ni Kamanda wa delta force ama wa nini
 
Wanawake wa Kitanzania wanauzi sana hasa wakinogewa na dudu.

Jamaa hakuwa na namna zaidi ya kutwanga mtu risasi.

Afungwe miaka 3 arudi uraiani kuendelea na maisha
Aisee kwamba Jamaa alikuwa na haki ya kuua? assume ingekuwa ni binti yako ndiyo kauwawa na mumewe ungesema pia mkweo hakuwa na namna zaidi ya kumtwanga risasi binti yako?
 
Wanawake wa Kitanzania wanauzi sana hasa wakinogewa na dudu.

Jamaa hakuwa na namna zaidi ya kutwanga mtu risasi.

Afungwe miaka 3 arudi uraiani kuendelea na maisha
Naunga mkono hoja ,jamaa abadilishiwe kesi iwe ya kuua bila kukusudia then aje kutoka kama LULU.

Hawa wake zetu huwa wanaprove wanaume wawafanyie ukatili.
 
Alimuuaje? Inategemea.
alimpiga sebuleni,then yeye akaenda ndani kulala,
Asubui anatoka sebuleni kumuhamsha, mwanamke hamki amefariki! Sa sijui ilikuwaje jamaa baadae aliachiwa huru..... nasikia mwanamke akuwa na jeraha,maana ni ngumi tu alimtandika....

Hawa viumbe kama moyo wako mwepesi unaua! Mimi nilimpiga tofali la kifua wife miaka miwili iliyopita! Akapata kizunguzungu akaanguka, kosa lake alinikunja mbele ya wapangaji na watu baki,
aisee nikajua nimeua....hawa viumbe watasababisha tuishie jela wanaume.
 
Kwa usalama wake afungwe miaka 30, mtaani ataishije na watoto wake wanajua amemuua mama yao kwa sababu yoyote ile.

Kwamba Jane hana familia ikae tu iangalie mahakama inavyompa favor huyo muuaji.

If he wanted to get rid of his wife he would have done that with no trace connection to him, Ni mjeuri tu alitaka kuunesha ulimwengu kuwa anayaweza.

Labda aeleze mahakama kwa ushahidi kuwa mke alikuwa anajaribu/ana mipango ya kumuua pia, otherwise hachomoki niko nimekaa pale. Kesi yenyewe imegusa pabaya kila mtu mkubwa ameitolea maoni.

Hakuna manslaughter ya mtu kusema “nimemaliza kazi”, kutoka atokako na bastola kuja kumkuta mtu na kumpiga risasi (Kama story ni za kweli) That’s murder.
Mambo baby girl 😎
 
Kwani wewe unafikiri hiyo bastora ilikuwa kabatini? Hujasikia kwamba walikuwa na migogoro kabla.Kajifunze kwanza nini kinaamua kuwa murder au manslaughter
Using an arm against unarmed person ni excessive force au siyo excessive force?.Angekuwa imetokea coincidence labda kamfumania kabla heat passion haijapita labda ingekuwa.Tafuta kesi ya R v.Said Mwamwindi imeanalyse mambo yote ya insanity na provocation .
We ni layman mwenzangu acha mbwembwe! Sasa tukuulize wewe ambae tuna assume ulikuwepo! Haya tujuze bastola haikuwa kabatini ilikuwa wapi!? tukisema pia ilikuwa kabatini au alikuwa nayo kibindoni baada ya kupanikishwa ndio akatoa kushuti! ?wote hatujui tunahisi tu, kesi za mauaji zinataka shaidi ambae aliona sio shaidi wa kusimuliwa tu, kinyume na hapo muuaji labda akiri kwamba aliifuata bastola somewhere then akaja kumshuti.
 
We nae zuzu ! Yaani nisepe niache Mali zangu? Una akili timamu wewe?
Kwakweli hata mimi nashangaa, yaani niondoke home niache mali zangu kisa eti mwanamke kaonjeshwa dudu🙄 !!!
Yeye ndiyo ataondoka au ataondoshwa.🙄
 
Back
Top Bottom