Jamaa alipokutana na mrembo

mbwana semsimbazi

Senior Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
196
Reaction score
202
Jamaa alikuwa kwenye daladala pembeni kuna
dada mrembo kakaa. Kamlia timing kwa muda
kisha halafu akamuuliza "Samahani dada
unaitwa Google?".
Dada: "hapana, kwanini umedhani naitwa
hivyo?". Jamaa: "Una kila kitu nnachokitafuta
"[emoji28][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Duh huyo jamaa sio wa mchezo mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…