Jamaa alitutishia bastola

Jamaa alitutishia bastola

Joined
Nov 19, 2016
Posts
19
Reaction score
8
Juzi tuliitokea kawe na bajaj tulipofika bonden pale jamaa mmoja akawa bize na sim akapoteza mwelekeo akataka kutugonga,dereva akamuuliza unafanya upumbavu gani huo? Jamaa akamaind tuliokuwa kwenye bajaji tukaja juu jamaa akatuletea tena kidogo atugonge tukamwambia wewe ni mpumbavu sana na huna akili zote,
Akashusha kioo akatoa bastola akasema nitawamali dakika moja alijua utamwoga tukamwambia jaribu watu wengine kwenye ile wakasema achaneni tukaondoka
Sasa mimi shida yangu ni kujua tu kwamva uyo jamaa yupo sahihi kutolea watu bastola au tungechukua atua gani maana mimi adi leo roho inaniuma natamani masaha yarudi nyuma
 
Ungekuwa unaangalia sana movie za ngumi,ungejua mastering wanafanyaga nn katika situation kama hiyo.
 
Juzi tuliitokea kawe na bajaj tulipofika bonden pale jamaa mmoja akawa bize na sim akapoteza mwelekeo akataka kutugonga,dereva akamuuliza unafanya upumbavu gani huo? Jamaa akamaind tuliokuwa kwenye bajaji tukaja juu jamaa akatuletea tena kidogo atugonge tukamwambia wewe ni mpumbavu sana na huna akili zote,
Akashusha kioo akatoa bastola akasema nitawamali dakika moja alijua utamwoga tukamwambia jaribu watu wengine kwenye ile wakasema achaneni tukaondoka
Sasa mimi shida yangu ni kujua tu kwamva uyo jamaa yupo sahihi kutolea watu bastola au tungechukua atua gani maana mimi adi leo roho inaniuma natamani masaha yarudi nyuma
Unatamani masaa yangerudi...
huenda ungekuwa marehemu muda huu.
 
Back
Top Bottom