Jamaa aliyenyang'anywa demu na Harmo Rapa licha ya kumgharamia kila kitu aenda studio kulia

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Harmo Rapper yule msanii anayejifananisha na Harmonize yadaiwa alimnyanganya Demu presenta na DJ aitwae Msabato na jamaa huyo ameenda studio za EA radio kulalamika na kusema alimnunulia kila kitu na kumpangishia chumba lakini demu huyo ameondoka kwa dharau


Demu mwenyewe jamaa anadai alimtoa Arusha na kumleta Dar kisha kumpangishia chumba na kumpa fedha za saluni na mahitaji mengine

 
Ukilikalia bench mbaya utamjua tu.

~Ferooz.
 
Hii story inaonekana ni ya kutengeza kabisa kiki inatafutwa kwa nguvu
 
Mbona harmoRapper anadai wanadate kama mwaka hivi... [emoji23][emoji23][emoji23]

Afu huyo jombaa mwingine anadai kaibiwa juzi...
 
Yaan nyie bado hamjajua tu kuwa anayofanya huyo mwanamke na huyo jamaa kuwa ni maigizo...BLOOD POOOOOL....(kwa sauti ya Amrish Puri)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…