Jamaa aliyenyang'anywa demu na Harmo Rapa licha ya kumgharamia kila kitu aenda studio kulia

Jamaa aliyenyang'anywa demu na Harmo Rapa licha ya kumgharamia kila kitu aenda studio kulia

Sijaingia JF siku kadhaa,kuingia tu nakutana na mi thread kibao inayomuhusu Harmorapa.
 
Naaa popote ulipo makalio yako, unamucha jamaa alie kuxomexha unamfwata huyo nyanii
 
Ujue huyu dogo rapa anatengenezewa publicity kwa nguvu yoyote ile ili asikauke kwa midia so naamini hata huyu dogo aliyekuja kulalama kalipwa afanye hivi hii ndio tz umaarufu unaupata kwa bei chee sanaaa.
 
Mimi huyu demu nilikuaga namla enzi hizo tunasoma wote shule ya msingi Unga Limited. NAWASHANGAA HAWA JAMAA WANAMNG'ANG'ANI WAKATI PALE NI MIMAJI TU.
 
[emoji13] [emoji13] wonders will never end!! Mungu baba tunusuru na njaa!!
 
Hawa vijana nao wamezidi, serikali ilianza na mafisadi tena kwa kuwaundia mahakama yao, ikaenda kwa wafanyakazi hewa na sasa iko kwa wauza unga. Subirini ikifika kwenu ambao wanazini na wasio wake zao!
 
Back
Top Bottom