Jamaa aliyenyang'anywa demu na Harmo Rapa licha ya kumgharamia kila kitu aenda studio kulia

EA Radio mnajidharirisha, hiyo sio media ya kiki za kipuuzi kama wale mawingu. Mna tofauti gani na wale Shilawadu?
 
Huyu harmo rapa sura yake na nyota yake tofauti aisee watu wanamuandama sana
 
Diamond, Kiba, Le Mutuz, Wema Sepetu, Joketi na wengine wote washapitwa na wakati. 2017 kuna macelebrity wapya mjini.
 
Harmorapa anagonga vichwa vya habari sio kitoto
 
Naona Harmo rapa kashapata kiki ya kutosha sasa kaenda kumchukua na mshkaji wake wa mtaani wamepangana watengeneze kiki nyingine wote wawe masuperstar. Haya hongera zao!
Maana Harmorapa umefosi mpaka tumekujua sasa ngja tuone umaarufu wako unautumia vp.
 
Harmorapa anagonga vichwa vya habari sio kitoto
Hahaaaahaa! kweli kawafunika aliowakuta, amewaachia sana watengeneze kick hadi za kupumuliana .....

Zamu yake sasa, jamaa anasikika kuliko wimbo wake
 
Karib mjin harmo rappa ...tumeelewa kik zako
 
Hivi bado kuna wanaume wanalia kisa wameachwa na wapenzi wao!?
 
Huyu jamaa Ana akili za wasanii wa Madale kabisa
 
Huyo dogo wanamtumia kama kanyagio.... Badala wapromote mziki wake wanapromote ujinga wake... Nakiki za kijinga ambazo zimeshazoeleka..
 
Kuwwekeza kwenye mapenzi hakuna garantii sana,na huwa hawatabiliki km ilivo upepo hata ungejenga ghorofa siku ikifika sawa na jani arirudi juu mtini,Fanya km ulisaidia tu ndugu yako.
 
Akipata umaarufu atautumiaje wakati kipaji chenyewe matatizo...
 
Ngoja na sie watoto wa tauni mapede tumuibe official na tuzid kumake kiki na kiki mpya town.
 
Demu mwenyewe mkubwaaaa kuliko huyo rapper, hawa vijana wameamua kujilipua kwa kuiga nyendo za Diamond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…