hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
Fred Saganda na wimbo unaitwa Rafaeli
Mi alinifurahisha alivyouimba kwa umahili ule wimbo wa kiarabu..
Fred Saganda na wimbo unaitwa Rafaeli
jamaa alifanya poa sana, alinifurahisha sana mpk nikataman atengeneze vipindi vya komedi.
"Eti hata Chua alikuwepo"
Ndo mmiliki wa kipindi cha pikaboom kinachorushwa na startv
Mi alinifurahisha alivyouimba kwa umahili ule wimbo wa kiarabu..