hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
kuna yule jamaa alipanda kuperform kwenye KTMA jumamosi alikuwa akiongea kichaga mara akaimba kiarabu nlimkubali sana sema simjui jina mana ata mpoki alimtambulisha ka mtu mwenye vipaji vingi tu. bas kwa yeyote anayemfahamu uyu jamaa naomba anijuze basi