Jamaa aliyeongea kichaga na kuimba kiarabu siku ya KTMA anaitwa nani?

Kuna Katuni zingine za wanyama nzuri kwa watoto zinaitwa Tingatinga ameshiriki pia
 
Fred Saganda ni noma sana. Akaanza kuwashika shika mpaka ktk sehemu nyeti, mara wakatokea wanaume zao wakaanza kumrushia maneno 'kinabo wewe' lol jamaa. Nilikua sijajua kua ndiye yeye ktk pika bomu ingawa wimbo ule wa hakuna kitu kama mbege, nilihisi ni yeye. Sikujua kwa kweli kama jamaa anavipaji vingi hivi.
 
duuuuh jamaa ni noma alikuja nimaliza mwishoni kwenye ule wimbo wa kiarabu aliposema magumashi changa la macho
 
ingawa baadae alikiri kuwa si kiarabu ni magumashi na changa la macho!

Lol! Hapo alinichekesha sana maana tusioijua hiyo lugha tulikua tunaona kama yupo ktk mstari, ila ilionekana ni magumashi kweli maana hata alipopokea hela akasema asante bomu likapigwa puuu!, al shababy puuu, boko halam puuu, Osama bin laden puuu!..,
 
dha aliniongezea siku huyu kaka kwa kucheka, nilimkubali. anaimba kiarabu anaongezea sijui nini na niniii, puuu,:smile-big::smile-big:
 
Lol! Hapo alinichekesha sana maana tusioijua hiyo lugha tulikua tunaona kama yupo ktk mstari, ila ilionekana ni magumashi kweli maana hata alipopokea hela akasema asante bomu likapigwa puuu!, al shababy puuu, boko halam puuu, Osama bin laden puuu!..,

imebidi tu nicheke mjini hapa watu sanii kweli kweli!
 
ilikuwa jumapili
nikamuona rafaeli
,amekaa juu ya nn?juu ya baiskeli
namuuliza anaenda wap?akanambia ferry
ferry kwa nan?kwa yule jitu tapeli
sa utumuonaje?akasema kwenye meli
kwenye meli ndo WAP?ndo kulekule ferry
mara nkamuona rafaeli anacheza na dada marry?
nkamuuliza hapa ndo ferry?
..............kwa braza mpei
huko atanpunguzia bei
bei za spea ya baiskeli...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…