Jamaa ameamua kumtumikia Mungu ,ameachana na uchafu

Watu sie jamani hizi fake ID zinatusitiri, yaani kwa jina halisi wengi wasingekbali wanajua shughuli ya huyu jamaa, kumbe watu wanafuatilia kila kitu ulimwenguni humu.
 
Hii habari si sahihi kulingana na maudhui yanayoonekana. Katoliki ndio wanavaa rozari. Sasa huyu jamaa kuvaa shati la kichungaji haimaanishi kafuzu mara hii kusimama madhabahuni. Kama ni dhehebu lingine basi bado hajui anafanya nini. Labda tuambiwe wanafanana au yuko lokesheni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…