Jamaa amemkumbatia mke wa Mjeda na kumbusu, kuja kutahamaki kumbe Mwenye Mke alikuwa pembeni ya fensi na panga lake akifyeka miti!

Mnawa- entertain sana wajeda,mnajipa hofu wanaume wazima.Siku hizi wakizingua tunawatandika sana mtaani.Hadi wamekuwa wastaarabu,fanyeni mazoezi wajeda hawana maajabu.
Unajifanya huenda uliwahi kutandikwa unata na wenzako waka gongwe
 
Kuna biashara ukimfungulia mke wako basi unakuwa umempa ruhusa kuchezewa au kutukanwa(wateja wakishachangamka).
 
Hicho kimya cha mjeda ndio adhabu yenyewe aliyopewa....ni psychological torture...yaani mjeda kaamua kumtia jamaa wasiwasi na woga...mwambie amuulize mke wa mjeda kama yeye ameisha adhibiwa kwa kumbatio lile!?
 
Inawezekana afande kapotezea na haoni tatizo wewe huku huna amani[emoji23][emoji23][emoji23],

Muite sehemu ongea naye ila uwe makini.
 
Huyo jamaa aliye kumbatia ni ww!
 
Mwambie asubiri tu dawa inachemka taratibu jikoni
 
Kweli kabisa mkuu, tuendelee kumtia moyo jamaa
 
Asubirie na yeye 'kuwaoiwa' na wajeda. Ila aombe waishie kumuwao tu maana wanaweza hata kumla visivyolika. Aanze kutembea na KY incase yakimkuta ya kumkuta awe tayari tayari.
Nashauri hiyo KY akaazime kwa Polepole.
 
Ukiuza bucha usiogope nzi..

Mjeda alipomfungulia hio bizness alijua hayo yatatokea.

Ndio maana alikausha..
 
Hicho kimya cha mjeda ndio adhabu yenyewe aliyopewa....ni psychological torture...yaani mjeda kaamua kumtia jamaa wasiwasi na woga...mwambie amuulize mke wa mjeda kama yeye ameisha adhibiwa kwa kumbatio lile!?
Amemuuliza, Ila huyo Mama ameishia kumcheka tu jamaa na kumwambia wewe Mwoga sana,acha woga jamaa Wala hakumaindi kabisa,anajua mteja tu wewe.
 
Amemuuliza, Ila huyo Mama ameishia kumcheka tu jamaa na kumwambia wewe Mwoga sana,acha woga jamaa Wala hakumaindi kabisa,anajua mteja tu wewe.
Ndio maana nilisema kimya cha mjeda ndio adhabu yenyewe!
 
Nilikua nawaangalia tu, hapa bado naendelea kumkanda wife manundu niliomtoa kwa kipigo ile jumamosi. Na huyo mshkaji wako sijui niwewe subiria tu kitakacho kukuta lazima uliwe utumbo...[emoji21][emoji53]
kwa hiyo ulioa na uliwashauri wana hakuna kuoa?
 
Nipo nje ya mada,
Hivi mwanaume kumfungulia mkeo biashara ya kuuza pombe unakuwa unafikiria Nini?
Ukiona mke wako haumumudu kitandani hiyo huwa nimbinu ya kusogeza wasaidizi. Inakuwa biashara haina faida ila tunachofaidika nacho nizile style mpya ambazo watakuwa wanamfundisha wasaidizi wanaotakiwa

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Ndio akome.

Ila msihi tu akwambie ukweli huyo jamaa ako mana inavyoonekana kuna namna hapo.
 
Mwambie jamaa afanye mazoezi ili siku likibuma aweze kutoa ukinzani. Asikae kizembe akiwaza waza. Piga tizi jamaa akijidai mwamba wanazipanga mambo yanaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…