Jamaa amemkumbatia mke wa Mjeda na kumbusu, kuja kutahamaki kumbe Mwenye Mke alikuwa pembeni ya fensi na panga lake akifyeka miti!

Jamaa amemkumbatia mke wa Mjeda na kumbusu, kuja kutahamaki kumbe Mwenye Mke alikuwa pembeni ya fensi na panga lake akifyeka miti!

Mnawa- entertain sana wajeda,mnajipa hofu wanaume wazima.Siku hizi wakizingua tunawatandika sana mtaani.Hadi wamekuwa wastaarabu,fanyeni mazoezi wajeda hawana maajabu.
Unajifanya huenda uliwahi kutandikwa unata na wenzako waka gongwe
 
Kuna biashara ukimfungulia mke wako basi unakuwa umempa ruhusa kuchezewa au kutukanwa(wateja wakishachangamka).
 
Hicho kimya cha mjeda ndio adhabu yenyewe aliyopewa....ni psychological torture...yaani mjeda kaamua kumtia jamaa wasiwasi na woga...mwambie amuulize mke wa mjeda kama yeye ameisha adhibiwa kwa kumbatio lile!?
 
Inawezekana afande kapotezea na haoni tatizo wewe huku huna amani[emoji23][emoji23][emoji23],

Muite sehemu ongea naye ila uwe makini.
 
Unajifanya huenda uliwahi kutandikwa unata na wenzako waka gongwe
Naanzaje kupigwa kizembe namna hii.

tmp-cam-3474369557889783036.jpg
 
Wakuu habari za Leo! This is true story.

Imetokea hivi karibuni hapa jijini Dar, Kuna jirani yangu amenisimulia nimshauri afanyaje maana, hivi karibuni akiwa anaingia kupata Moja moto moja baridi kwenye glossary ya jirani yetu mwingine ambaye ni Mjeda na amemfungulia glossary mke wake hapohapo maskani Kwa nje ya fensi.

Basi alipofika akamuomba yule mama amkumbatie ( watoto wa mjini wanaita kumuwao) bas mara pap wakapeana wao jamaa akiwa anaendelea kushikilia kiuono Cha yule mama, ghafla akasikia mtu anakata miti Kwa panga kuka kucheki ni mme wa yule mama na alikuwa akiwatazama wanavyopeana kumbatio.

Na mpaka Leo inaisha wiki hajamuuliza lolote jamaa, hivyo mwana anaomba nimshauri afanyaje maana kiuhalisia Hana uhusiano wowote Na yule mama ila ilitokea tu siku hiyo, Sasa hofu ya jirani yangu ni jamaa amelichukuliaje?

Na kwanini alikaa kimya hakuwasemesha?

Na anawaza nini?
Huyo jamaa aliye kumbatia ni ww!
 
Mwambie asubiri tu dawa inachemka taratibu jikoni
 
Watu wanaonaga wajeda ni kama untouchables hivi
Sasa yeye kama kaamua kumfungulia mke auze pombe unarikiri hajui kuwa sio kukumbatiwa tu hata kutongozwa na walevi ni jambo analijua fika

Kunyamaza kwake hapo ni kuwa wifi alijua kabisa kuwa mme wake anafyeka majani na kumbatio ni jambo dogo sana kwa muuzaji wa pombe

Mjeda mjeda
Kweli kabisa mkuu, tuendelee kumtia moyo jamaa
 
Asubirie na yeye 'kuwaoiwa' na wajeda. Ila aombe waishie kumuwao tu maana wanaweza hata kumla visivyolika. Aanze kutembea na KY incase yakimkuta ya kumkuta awe tayari tayari.
Nashauri hiyo KY akaazime kwa Polepole.
 
Ukiuza bucha usiogope nzi..

Mjeda alipomfungulia hio bizness alijua hayo yatatokea.

Ndio maana alikausha..
 
Hicho kimya cha mjeda ndio adhabu yenyewe aliyopewa....ni psychological torture...yaani mjeda kaamua kumtia jamaa wasiwasi na woga...mwambie amuulize mke wa mjeda kama yeye ameisha adhibiwa kwa kumbatio lile!?
Amemuuliza, Ila huyo Mama ameishia kumcheka tu jamaa na kumwambia wewe Mwoga sana,acha woga jamaa Wala hakumaindi kabisa,anajua mteja tu wewe.
 
Amemuuliza, Ila huyo Mama ameishia kumcheka tu jamaa na kumwambia wewe Mwoga sana,acha woga jamaa Wala hakumaindi kabisa,anajua mteja tu wewe.
Ndio maana nilisema kimya cha mjeda ndio adhabu yenyewe!
 
Nilikua nawaangalia tu, hapa bado naendelea kumkanda wife manundu niliomtoa kwa kipigo ile jumamosi. Na huyo mshkaji wako sijui niwewe subiria tu kitakacho kukuta lazima uliwe utumbo...[emoji21][emoji53]
kwa hiyo ulioa na uliwashauri wana hakuna kuoa?
 
Nipo nje ya mada,
Hivi mwanaume kumfungulia mkeo biashara ya kuuza pombe unakuwa unafikiria Nini?
Ukiona mke wako haumumudu kitandani hiyo huwa nimbinu ya kusogeza wasaidizi. Inakuwa biashara haina faida ila tunachofaidika nacho nizile style mpya ambazo watakuwa wanamfundisha wasaidizi wanaotakiwa

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Ndio akome.

Ila msihi tu akwambie ukweli huyo jamaa ako mana inavyoonekana kuna namna hapo.
 
Wakuu habari za Leo! This is true story.

Imetokea hivi karibuni hapa jijini Dar, Kuna jirani yangu amenisimulia nimshauri afanyaje maana, hivi karibuni akiwa anaingia kupata Moja moto moja baridi kwenye glossary ya jirani yetu mwingine ambaye ni Mjeda na amemfungulia glossary mke wake hapohapo maskani Kwa nje ya fensi.

Basi alipofika akamuomba yule mama amkumbatie ( watoto wa mjini wanaita kumuwao) basi mara pap wakapeana wao jamaa akiwa anaendelea kushikilia kiuono cha yule mama, ghafla akasikia mtu anakata miti kwa panga, kucheki ni mme wa yule mama na alikuwa akiwatazama wanavyopeana kumbatio.

Na mpaka leo inaisha wiki hajamuuliza lolote jamaa, hivyo mwana anaomba nimshauri afanyaje maana kiuhalisia hana uhusiano wowote na yule mama ila ilitokea tu siku hiyo, Sasa hofu ya jirani yangu ni jamaa amelichukuliaje?

Na kwanini alikaa kimya hakuwasemesha?

Na anawaza nini?
Mwambie jamaa afanye mazoezi ili siku likibuma aweze kutoa ukinzani. Asikae kizembe akiwaza waza. Piga tizi jamaa akijidai mwamba wanazipanga mambo yanaisha.
 
Back
Top Bottom