Jamaa anaisanifu Israel eti wananchi wake wanaandamana kumpinga Benja. Anasahau kuwa wananchi wanafaidi uhuru wa kujieleza ambacho uarabuni ni nadra

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kuna jamaa kaandaa chapisho humu kifua mbele.

Itikadi kali nishawaambia kati ya utapeli mkuu kuwahi kutokea dunia hii ni nyie na itikadi yenu.

Mnamchumchukia netanyahu maana amewaanyoosha kisawa sawa ndugu zenu.

Mnasahau kuwa hata great leaders wanapingwa na kwa nchi zilizowastaarabu na utu wanaruhusu wanaowapinga kutimiza matakwa yao ya kufikisha ujumbe sio nchi zenu hizo zinaruhusu kubaka watoto wa miaka 9, ebu jaribu kuiingia mtaani upinge kama kesho utaonekana.
 
Hata watanzania wapo hivi hizi ni takwimu ambazo ccm walivyo
 
Nimemuuliza kwenye ule uzi wake wanaoandamana kumtoa Netanyahu ni waarabu? Kaishia kupost mapicha tu anasahau uhuru wa maoni huko Israel ni first class tofauti na kwa wajomba koko zake.
 
Nimemuuliza kwenye ule uzi wake wanaoandamana kumtoa Netanyahu ni waarabu? Kaishia kupost mapicha tu anasahau uhuru wa maoni huko Israel ni first class tofauti na kwa wajomba koko zake.
Ni mkuda sana huyo mtu😂
 
Wabongo huwaambii kitu kuhusu isreale , hata akijipakaa kinyeesi watasema wanadurahia uhuru wao kha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…